Recent content by 2mary

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Mwenyewe sijaenda ila huwa nafurahia jinsi unavyotuelewesha hivyo nangojea mrejesho toka kwako
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Haaa umefanya nikomenti japo huwa napita tuu kwahiyo wewe kipimo chako ni magari vipi kama hawatanunua magari watajenga na kuinvest kwenye kilimo. Umenifanya nicheke sana
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Hongera mkuu there you'r! Big congrats 'Ulinzi wake Mola uwe pamoja nawe'
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Najua umeumia ila pole sana mtu kukuita tapeli ili hali hakujui inauma ila pole twende tuendelee na mambo yetu haya usiache kututumia vitu ili na sisi tunaoanza tusikate tamaa, inatuhamasisha mimi napenda nikiona coz wako ambao wanaamini hakuna kufanikiwa kwenye forex ila tukiona unavyotuma then...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    A-watan utatuuwa na presha mkuu hope tutafika lakini
  6. 2

    JamiiForums Tanzania ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Kumbe Daby ni wa kwetu hongera wewe ni jembe mkuu! Maswali yako yamegusa sehemu kubwa mpaka tunakosa cha kuuliza tena. Ontario be blessed!
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

    Wapi kamkana YESU jamani acheni kumhukumu kijana wa watu looh mnajifanya miungu watu. Wewe ukoje na Mungu wako hilo ndio la msingi kwako. Mimi wakati wote huwa najitafakari kuwa mimi nikoje na Mungu na mimi ni nani hata nimhukumu mtu. Ajizaniae amesimama aangalie asianguke. JICHUNGUZE na kama...
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Equit uwe na kitambulisho chako tu hakuna longolongo na pasport size kufungua ni bure
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa naye kwenye uhusiano muda mrefu lakini kumbe ana mke na watoto 2

    Achana na mume wa mtu maana utaishia kuwa kimada wake tu. Heshima iko kwa mke wa ndoa ukija kushtuka tayari hakuna hata wa kukusalimia umeshazeeka na ujue wakati huo atakuwa kwa mke wake
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Ubinasifishaji wa Muda kwa watu wenye uthubutu

    Nimependa huu ujumbe nimejifunza kitu
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    :D:DWaacha bwana Embu tupe evidence sio tu unasema scam then unasepa toa ufafanuzi zaidi tujue sisi tulinunua mpaka vitabu tunasoma tusiendelee kupoteza muda.
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    \Mkuu huo ndio ukweli wenyewe watu wako tofauti sana katika uelewa mfano mimi nimesome weee sielewi sasa imebidi nisubiri wanaoelewa wanieleweshe taratibu ila naamini tutafika
Back
Top Bottom