Natafuta soko la vifaranga wa kuku wa kienyeji wa umri wa week moja.
pia natafuta soko la kuku wakubwa wa kienyeji.
kwa mawasiliano: 0713722589. tupo dar maeneo ya tabata
Habari wakuu
kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo, kuwashwa njia ya haja kubwa, tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa gesi na kichefuchefu.
kuna baadhi ya watu wananambia tatzo laweza kuwa amiba sugu:
please jaman kwa yeyote mwenye dawa iwe ya vidonge au...
sa unasubir nn mkuu na kama humnyonyi k unafanyaga nn kumuandaa,,,,, cha msingi anza kumnyonya kabla anaekuibia mzgo hajakolea......tena ww mnyonye kwa ufund had amdharau alomnyonya mwanzo
Salaam sana Rafiki zangu
Kama kichwa kinavojieleza, ni kuwa nimepoteza simu yangu na ilikua ni msaada mkubwa sana kwangu
Nifanyeje niweze kuipata, IMEI ninayo
msaada tafadhali mwenzenu sina hali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.