Recent content by 255Tanzanian boy

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya ndani vimekuwa chanzo cha kupunguza ujasiri waume kwa wake kuogopa kutoka usiku kiasi cha kukojoa kwenye mazururu

    Sio uwoga ila uvivu mana mpaka nianze kutoa masufuria, madjaba, sturi, ndoo za maji ndo nifungue mlango na ndo mana tunaua winga tu kukoja kwny kopo
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mtandao wenye vifurushi nafuu vya internet

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Si mtalaam kwny hili ila nitakuelezea ilivyomtokea baba angu mzazi mwaka jana mwezi 3. Pressure ilapanda nikampeleka Regency hospital walipomfanyia CT scan ya kichwa wakaona damu imeganda kwny mishipa inayopeleka damu kwny ubongo. Dr. Bingwa wa hayo maswala alishauri asifanyiwe upasuaji mana...
  4. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

    Uzuri wa Ikulu unatusaidia nini kama maisha yenyewe ni pata potea
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Alinijibu hivi baada ya kushindwa kumtumia pesa. Naomba ushauri wenu wakuu

    Hakuna sumu mbaya kama kuwashauri wapenzi waliotilafiana, wakiwa chumbani wanaanza kukusema "eti Mussa alinambia nikuache" na yeye anakujibu "eti Doreen alisema utakua na demu mwningine". Basi najioneaaaa taaaaabuu mie
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

    Hii ndo tofauti kati ya nyumba na pango[emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom