Recent content by 255Annarose

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

    Acha kupotosha Rais Magufuli amewajali Sana watumishi wake ukiangalia kwanza ameweka nidham ya kazi Pia ameweka akitoa mishahara ndani ya wakati ukilinganisha na zamani mambo sasa ni tofauti. Vyama vya walimu wanasikilizwa kwa Hali ya juu na mawazo yao yanatendewa Kazi. Ajira kwa walimu...
  2. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Kabisa Hawa wapotoshaji Sana....... Wakubaliane na Hali uchaguzi kuna kushinda na kushindwa kwahiyo wakubali na sio kutengeneza vtu tu kwa akali ya kupotosha jamii
  3. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Mm nasubr nione maandamano sio au nmeshapitwa na dunia huko jmn
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Serikali yapanga kujenga reli kutoka Mtwara, Songea hadi Mbamba Bay

    Serikali ya Tanzania chini ya Rais Magufuli imeahidi kujenga reli kutoka Mtwara, Songea Hadi Mbaba bay. Ambapo mpaka sasa upembuzi yakinifu umeshafanyika na michoro yote iko tayari. Reli itakua na umbali wa takribani kilomita 1000 Reli hii ikikamilika Watanzania watanufaika Sana hasa Katika...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Wagombea wa CCM walipikwa wakaiva wewe unaamka unasema walikosea kujaza fomu unauhakika. Leta ushahidi hapa.
  6. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Awap njooni mtubu mmetukosea Sana Watanzania yan dah
  7. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Hahahhaha kwakwl haamin kama kwel uwanja upo watu wanapinga pinga tu vitu.. No research no ryt to speak.
  8. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Yan wanachekesha Sana usitukane mamba kama haujavuka mto
  9. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Yan chadema Wana matatizo Sana alaf ni waongo Sana.
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli achochea kuimarika kwa sekta ya biashara

    Rais Magufuli ameliinua taifa letu. Magufuli 5 Tena
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CCM zinazowaacha hoi wapinzani kila uchaguzi ukifika

    CCM inashinda kutokana na kuweka imani kwa wananchi nyie mmekazana wanawaibia kura ebu ibeni na nyie ache kitumia vigezo vya ajabu
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CCM zinazowaacha hoi wapinzani kila uchaguzi ukifika

    Acha uongo yan huku Rombo mimi nimeona wazee wote kura zao kwa Magufuli
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Mbinu za CCM zinazowaacha hoi wapinzani kila uchaguzi ukifika

    Upo sahihi sana ndugu
  14. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

    Waache wajidanganye wapinzani wanashindw akutumia mbongo zao jmn... Watanzania tukisikia mlio tunaenda hukohuko kuangalia hata tukisikia kuna mchawi kakamatwa tunaenda kuangalia sasa kama alidhanu watu wanaenda kisa wanampenda pole yake hatapata kura watu wanaenda kuangalia kama kwel anaonekana...
  15. 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam imepatwa na nini? Mbona mpo tuli?

    Wewe unaishi wapi kwani ni vibe gani unataka ivi umekatisha mitaani huko au upo kwenye mitandao ila ukiotaka kujua dar wapi vizuri subiri Magufuli aje kufanya kampeni dar ndio itakua mjomba wamepita hao watu wa blablaa na hatukustuka wala nn tupate kanda ndugu uone mambo.
Back
Top Bottom