Recent content by 20PROFF

  1. 20PROFF

    Hivi Nancy Sumari ndio alikuwa mwanamke mrembo Tanzania nzima?

    Zuchu??? Like seriously??.
  2. 20PROFF

    GE2025 Rais Samia: Ninaahidi kuidhibiti Rushwa kuleta Maendeleo zaidi

    Naona wanasikiliza sana Hotuba za Polepole. Alimchana Juzi kati ktk hiii angle.
  3. 20PROFF

    Video ikionyesha waumini wa Madhehebu ya Shia wakiadhimisha Ashura kwa kumlaki farasi wa Imam Hussain Zuljanah kwa kulia

    1 Wafalme 18:20-29 [20]Basi, Ahabu akapeleka watu kwa wana wa Israeli wote, akawakusanya manabii pamoja katika mlima wa Karmeli. So Ahab sent unto all the children of Israel, and gathered the prophets together unto mount Carmel. [21]Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita...
  4. 20PROFF

    Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

    Waandishi wa habari ni watu waliotakiwa kuwa neutral ktk taaluma zao. Kumbe muda wote huo alikuw na kadi ya chama. Je! Angeweza kufanya kazi bila kuegemea upande mmoja?? Ni sawa tunavyoona viongoz wastafu wakubwa wa vyombo vya kusimamia na kutoa haki, viongoz wa polisi, tume ya uchaguzi akitia...
  5. 20PROFF

    Boom ni TZS10,000 kwa siku, na siyo TZS8,000

    Wewe unadhani mchunga ngombe ananenepesha ngombe kwa sababu anazipenda🤣🤣🤣🤣. Chief! Usitumie kichwa kama pambo.
  6. 20PROFF

    Boom ni TZS10,000 kwa siku, na siyo TZS8,000

    Boom sio msaada, Sio pesa anazopewa bure, kama zile wanazopewa wasaniii. Boom ni mkopo🤣, utaurejesha. Hata huo mkopo wenyewe unaingia kwa wakati. Unajua why vitoto vya chuo vinajiuza?? Kuna tarehe zikifika, boda boda wanajibebea tu.
  7. 20PROFF

    Rai yangu Fupi Kwa Rais Samia

    🤣🤣🤣 Unadhan hawajui wanacho kifanya basi .
Back
Top Bottom