Recent content by 2024 am billionaire

  1. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye alienishawishi kugombea Urais

    Au basi Ila marafiki asilimia kubwa ni [emoji119][emoji119][emoji119]
  2. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Siku Saba kuoga unaweza kuyabonda au kuyaweka kawaida tu
  3. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Pole San usijali ebu oga chumvi ya mawe na majani ya mbaazi kwa siku Saba au uwe unaenda baharini kuoga kutoa manuksi kipenzi [emoji848]
  4. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Wanachafua nyota
  5. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Kingine tareh kumi na Moja 11/1 mwezi wa kwanza kutakuwa na new moon mwezi ukishatoka Toka nje ukamanifest unachotaka kiwe kweny maisha yako
  6. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Kuhusu mambo magumu Huwa ni chaguzi zetu wenyewe tu ambazo tunazichagua iwe kwa kujua au kutokujua sawa kwanza badilisha mtazamo wako kuhusu maisha pesa nakazalika pia chukua chumvi ya mawe changannya na majani ya mbaazi uogee usiku usiogee chooni ukiwa unaoga nuia unachotaka iwe kuondoa nuski...
  7. 2024 am billionaire

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

    Umeongea point
Back
Top Bottom