Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao.
Mifano hai
Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko.
Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini?
Facebook ya 2005 sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.