Recent content by 2004boy

  1. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Job kurudishwa national team Unafki wa kocha hemed moroco umejidhihirisha?

    Ngoja waje
  2. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga: Dini Mpya Tanzania

    Kwa unavyo andika hapa unaonekana kabisa we hamnazo au wasukuma walikuchana Malinda?
  3. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga: Dini Mpya Tanzania

    Watu wakibishana mpira wanakukera wewe huna akil timamu
  4. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Vital'o kujiuzulu kama wakifungwa na Yanga

    Huyu anampango tu wa kuondoka
  5. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Tusishobokee Kingereza, ni moja katika lugha mbovu duniani

    Utaingiaje mtandaoni Kama hujui hata Cha kunywea maji?
  6. 2004boy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo uliniponza

    Hujui kusoma
  7. 2004boy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongo uliniponza

    Habarini wakubwa natumai mu wazima. Kwenye maisha yangu huwa najitahidi sana nisionekane muongo ila hapa ilinibidi nidanganye ili nipate ninachokihitaji. Nikiwa na miaka 18 nilimpenda binti mmoja nilianza kumfuatilia taratibu nikagundua anapoishi ilikuwa ngumu Sana kutoka nje na...
  8. 2004boy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

    Sisi vijana wa 2000 tunapenda wamama wakubwa kwa sababu hawana Mambo hawana yale Mambo ya kuomba omba hela
  9. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Hilo gori alilofunga si ni kama la mzize alilowafunga Azam jana
  10. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Kauli za wanasimba Baada ya kichapo jana

    Umemaliza mkuu
  11. 2004boy

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Mke mkubwa tumemalizana nae Bado mke mdogo.
  12. 2004boy

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Us Ushindi ni ushindi haijalishi ni penat au nini
  13. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Hii Simba ya sasa ni mbovu kuliko Simba ya Robertinho na Benchkha

    Ngoja tukusikilize unaonekana unakitu
  14. 2004boy

    JamiiForums Tanzania Bingwa ngao ya Jamii 2024 ni Simba au Azam

    Acha uongo
Back
Top Bottom