Recent content by 20 Maker

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Unatumia VPN gani?

    Mimi natumia secure VPN,ni bure na haijawahi kuniangusha
  2. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Kutofautiana tamaduni na imani naona kama ni changamoto
  3. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Sifa zangu 1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe 2) Culture ya maisha yangu ni Vegan 3) Umri wangu ni 35 4) Ni mweupe, Mtanzania 5) Nimejiajiri Sifa za ninayemtaka 1) Awe mweusi wa asili 2) Awe mrefu na sio mfupi 3) Akiwa na utamaduni wa Vegan au Vegetarian itapendeza 4)...
  4. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Wewe ndo huelewi culture za dunia zaidi ya kujua mazingira ya nyumbani kwenu. Suala la kutokula nyama ni culture/utamaduni na sio masharti
  5. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    I believe in black man civilization, sihitaji hata huyo mtumia majani
  6. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Asante
  7. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Niko tofauti sana na unavyonifikiria,I believe in ancient black man civilization
  8. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Nasimama kama muafrika so,kuleweka zaidi asiwe mfia dini za watu weupe
  9. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Sifikirii kupata mla nyama ili nimbadilishe asile nyama. Wengine mnachelewa kuelewa. Wapo watu hawali nyama, ndo ninataka hao,na hataona vibaya kula mimea mpaka kufa kwa sababu ni culture amekuwa nayo,wewe unayekula nyama isikusumbue
  10. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Hii ni kwa wenye huo utamaduni tu, so kama hauna huo utamaduni wa kutokula nýama kaa tu pembeni
  11. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

  12. 2

    Nielewe, sìtafuti mtu anayekula nyama ili nije nimuachishe. Natafuta mwenye utamaduni huo Ukikosa uelewa wa tamaduni za mtu mweusi ndo utaniita bahiri.
  13. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Swali zuri linahitaji kuelimishwa kwa mapana sana. Hata hivyo sijaja hapa kupinga anachokiamini mtu
  14. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Brother don't attack me,I didn't attack you. Sipendi interaction na mtu wa tamaduni tofauti na tamaduni yangu ndo maana nimesema asiyekula nyama Kama unakula nyama pita kushoto
  15. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Kawauliza wao sasa, mimi sili nyama yoyote
Back
Top Bottom