Recent content by 2 pacha

  1. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Mpaka hapo kashaonesha kuwa hamjui mungu......!
  2. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    sijawahi kuonewa.... ila nikionewa... mamaaake nakuwa zaid ya hamza....!"(nawaza tu kwa sauti")
  3. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako. Amesema anayekataa kuchanjwa ni zombi''

    Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa kuwazuia kwenda kuchanjwa kwahyo nayeye ni zombi.
  4. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Peleka wazo serekalin alafu uone watakufanya nin... Kama hujaambiwa ww ni gaidi
  5. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Akina mama CHADEMA waamua kuonyesha makucha yao, wasema Mbowe sio gaidi

    Mmmh cjui......!?
  6. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

    Duuh! Jamaa wataalamu sana wakuunganisha dots. Yangu macho ngoja nisubir nione nini kitatokea
  7. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

    Mmmh yamekuwa hayo......!
  8. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini unafanya hivi? Ni wapi tumekukosea?

    Dah kweli nimeamini... Mama wa kambo c mama......! Mmmmh kumbe nawaza kwa sauti!!!
  9. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

    Mama wa kambo siyo... Mama nishawaambiaga nyie tusubilini tu mengne yanakuja.
  10. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa inayotumika kupambana na CHADEMA haiwanyong'onyezi bali inawaimarisha

    Kwa sasa nyumba inaongozwa na mama wa kambo'
  11. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Dr Mwigullu: Bajeti ikishapitishwa na bunge ni Sheria, sitaweza kubadili chochote kwenye Tozo!

    Bajeti haijapitiswa na bunge bali imepitiswa na ccm
  12. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Kodi balaa... yaan hata nguruka nao wamepanda bei duuuh
  13. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Aisee wewe jamaa umenipa hasira... Kwel yaan... Ungekuwa kalbu yangu ningekuzaba hata kofi la baba wa kambo. Yaan kodi zote hzi zilizoongezwa na bdo ww unatetea.
  14. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

    wote tuachane na siasa..! hyo mbinu nazan itafaa
  15. 2 pacha

    JamiiForums Tanzania Mbowe na hadithi ya Chura!

    ivi tanzania chama pinzani kipo kimoja tu 'cdm'? maana hawa chukua chako mapema" wanavyopata shda na mbowe yaan mpaka aibu!! dingi mbowe walaah wewe ni jembe kama ni tuzo ya upinzani bora ingekuwa inatolewa ingekuhusu.
Back
Top Bottom