Recent content by 1999s

  1. 1999s

    Majina yanayoonesha venue za kufanyia interview, Mwalimu wa uchumi(Economics).

    Habari zenu wanajamvi, hivi tangazo linaloonesha venue za kufanyia interview somo la uchumi ajira portal limeshatoka?
  2. 1999s

    Applicant's Application Status Information: A-LEVEL/DIPLOMA SPONSORSHIP FORM Not Stamped.

    Habari zenu wakuu, kama inavyosomeka katika title hapo juu, hizo ni habari za mdogo wangu ambaye ameomba mkopo kupitia bodi ya mikopo kwa ajili ya elimu ya juu(heslb). Swali tunalojiuliza hiyo stamp inayohitajika ni stamp ya taasisi gani. Mwenye kujua tafadhali atujuze. Asante.
  3. 1999s

    Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

    😂😂😂😂
  4. 1999s

    Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

    Tunaweza, ila kila mji una tamaduni zake hivyo, sisi tunaendeleza tulichokikuta.
  5. 1999s

    Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

    Mimi ni mgeni humu JF, ila, nilikuwa nasomaga sana machapisho yako kabla sijajiunga kwenye hii familia. So, I'm so sure that you do understand English language in details.
  6. 1999s

    Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

    Hamna Cassnzoba, bado tunajifunza, hivyo, huwa tunajisikia vizuri zaidi tukitumia lugha ambayo tunaifanyia mazoezi.
  7. 1999s

    Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

    Evelyn Salt, najua unajua kizungu kuliko mimi, na kama itawezekana itabidi uniongezee mbinu za kukijua zaidi.
Back
Top Bottom