Tatizo si kuwa na utajiri, bali ni namna utajiri huo unavyopatikana na kutumika. Ubepari usio na mipaka una mapungufu yake, lakini pia ujamaa hauwezi kuwa suluhisho la kila tatizo. Taifa linahitaji haki, fursa sawa, uwajibikaji na mfumo unaompa kila mtu nafasi ya kujikwamua kiuchumi. Tusipambane...