TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF
Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha.
Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza...
Asante kwa kunielewesha, Leo Dada. Nimeheshimu maoni yako na samahani kama uzi wangu umekukwaza.
Nia yangu ilikuwa ni kuanzisha urafiki wa kawaida tu, bila kuvuka mipaka.
Kuhusu uzi, nitazingatia ombi lako. Nakutakia kila la heri na mafanikio katika maisha yako. Heshima kwanza. 🤝
Mkuu, kwanza tuache vitisho na lugha za kutisha watu. Kama una hoja kuhusu thread yangu, iwasilishe kwa hoja na siyo kunitisha kwa majina ya watu, maeneo au madai ya uwezo wa kuua. Mimi sijaja hapa kugombana na mtu wala kuingilia ndoa ya mtu. Urafiki ni urafiki, na kama kuna jambo limekukwaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.