Recent content by 1985ufunuo

  1. 1

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Maandamano na mikutano ya hadhara itaanza rasmi nchi nzima muda wowote kuanzia sasa

    Mmh kweli nchi ina vikaza ivi inachokidai ukawa ni kwa faida yao au ya wote tumia akili kufikili sio masaburi
  2. 1

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Mimi ni Chadena ila Lowassa namkubali sana kwa kuwa na maamuzi ya kiume. Nchi hakuna mwizi wengine humu mpo vitengo vya serikari mkiwa mmeajiriwa na ni wezi tu hukoo sehemu ya kazi Tanzania kila mtu anapiga Dili tusidanganyane Ila kwa Lowasa hata kama ni Fisadi basi huyo Anajali jamii pia kuna...
  3. 1

    JamiiForums Tanzania Sitta, Mwakyembe, Membe na Magufuli waungana mbio za urais

    Mnyika ndi Rais kijana anaefaa hao wazee weshachoka....wakalee wajukuu
  4. 1

    JamiiForums Tanzania Ni ndoto kijana kuwa rais nchi hii mpaka hiki kifanyike

    CCM ni chama cha wazeee ndio maana hawezi kubadilika wala kukubali mabadiliko They are CONSERVATIVES. Hata kama kunavijana huko CCM basi watakuwa WALOPOKAJI na wachumia tumbo. CHADEMA, CUF, NCCR, ni vyama venye mchanganyiko wa vijana, watu wazima, Wazee, pamoja na MAMLUKI kutoka CCM. Ni ndoto...
  5. 1

    JamiiForums Tanzania Kafulila kupandishwa kortini na IPTL itakayomdai bilioni 310/=

    Billioni 300 za zimbambwe
  6. 1

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Mgombea urais ambaye atapata kura bila CCM kutumia mabilioni

    wote wala rushwa tu hao hakuna rais hapo rais nchi ni mnyika
  7. 1

    JamiiForums Tanzania Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe

    TUTAYAWEZA YOTE KATIKA YEYE ATUTIAE NGUVU. watawanyofoa kucha au meno bado watazaliwa wanamapInduzi zaidi hata ya waliotolewa kicha MABADILIKO YAMEKUJA HAKUNA WA KUYAZUIA someni alama za nyakati CCM WAKATI WA KUTUBU NI SASA
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Lipumba: UKAWA hawatarudi Bunge la Katiba hadi waambiwe nini kitajadiliwa

    Hakuna viongozi wa dini nchii wote wanafiki wauza podaa kibao kwa mgongo wa dini
  9. 1

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi na CUF, jihadharini sana na hizi hadithi za Tanzania Daima

    CCM kama Brazil vile hahahah UKAWA kama Ujerumani
  10. 1

    JamiiForums Tanzania Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

    RASHID...Abdalla... Ally...Juma.... Omary... Salum... Ahmedi....Mohammed Mmmmmh
  11. 1

    JamiiForums Tanzania Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

    Kuna DINI moja inaongoza kwa kuwa na wabeba maboksi hii inasababishwa na nini
  12. 1

    JamiiForums Tanzania Wasomi vijana kushabikia vyama vya upinzani je wanatumia nini kufikiri?

    Ulitaka wapenda chama gani democracy ni pamoja na kumwacha mtu achague chama atakacho wewe haikuhusu kwani wanependa upinzani endeleaa kudumaa na lichama lako lina miaka hamsini watoto bado wanasoma chini ya miti
  13. 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movies za vichekesho unazopendekeza mtu aangalie

    Hang over 1.2.3
  14. 1

    JamiiForums Tanzania Siri Nzito UKAWA: Kigogo CHADEMA atoboa ni shinikizo toka Ulaya afichua Mbowe kuwaponda CUF na NCCR

    Nani msaliti wa watanzani ukawa au CCM kama kweli tunawajali watanzania Basi hakuni kujadili Rasimu ya Warioba zaidi ya hapo CCM mtaleta umbea usiokuwa na maana nchii hii sio ya UKAWA wala CCM nchi ni ya watanzania waliotoa maoni jinsi gani wanataka katiba yao iwe na wakamkabidhi WARIOBA sasa...
  15. 1

    JamiiForums Tanzania Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

    Cha kujiuliza je habari zinatolewa na ITV juu ya hicho chama kingine ni za UWONGO. Je kama ni ukweli mlitaka watanzania wusikie kupitia TV ip maana nchii haina TV ya TAIFA TBC ni uchafu kabisa. Haifai kutwa TV ya taifa hata kama hujaenda shule utangudua inaegemea chama cha CCM. Pia ITV ni TV ya...
Back
Top Bottom