Recent content by 1984h

  1. 1

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Hapana kaka, jamaa alifanya BA in education.
  2. 1

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hivi slogan ya ccm this time around ni nini?? Just out of curiosity..
  3. 1

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Tell this fellow hon. Mwapachu has a PhD in literature.
  4. 1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    He is public admn Harvard graduate bro
  5. 1

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nguvu ya umma inayomsapoti Lowassa ni kubwa zaidi ya 1995 !

    Kura yangu ni kwa Lowassa. Period! Kwanza sihitaji hata kusikiliza Sera, nimeshafanya maamuzi! Baba yangu ambae alisomeshwa na CCM anampigia kura Ngoyai, isimbuse Mimi??
  6. 1

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamhujumu Lowassa rasmi, wavunja UKAWA kusini, CUF kumwaga mboga

    Ha ha ha. Propaganda hizi, mara ohh mpaka atimize miezi 3 ndio hapitishwe kuwa rais. Yapo wapi??? Tukutane jukwaani!
  7. 1

    JamiiForums Tanzania Swali la msingi kwa wapambe wa Magufuli

    Dah u have made my day.
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Naona ameisha sana, au macho yangu??
  9. 1

    JamiiForums Tanzania Tayari mikoa 23 yamuunga mkono Lowassa

    kbosho Well said brother. Kijana wa Kitanzania timiza jukumu lako.
  10. 1

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

    Hivi umeiona picha ya mzee Wasira hapo??
  11. 1

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Logic ya kawaida kabisa inaonyesha EL ni threat kubwa sana kwa CCM. Huyu jamaa nasikia CCM wenyewe wanamwita nguli wa siasa za bongo. It will b very interesting to watch how this yr campaign unfolds.
  12. 1

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Hawana iyo jeuri hata kidogo! Jamhuri inaweza ikawa uchi.
  13. 1

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Bunge ni kweli an independent organ lakini unafahamu majukumu yake ?? Kama unashindwa kutofautisha majukumu ya bunge na mahakam then u have the big problem. Usipole majukumu ya judiciary!!
  14. 1

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Duh, hivi in kweli huyu huyu mzee kinana??? Hii itakua ni hatari sana kama kweli Huyu mzee anausika moja kwa moja.
Back
Top Bottom