No no sikubaliani na wewe kwa lugha yako chafu..Rais wetu ni lazima aheshimiwe...ni commander in Chief of our armed Forces na Head of State...ni lazima Rais wetu aheshimiwe...wa kulaumu hapa ni watu wa protocol. Where were they hata kumfanya huyu comprador bourgeoisie a.behave hivyo? Mimi...
Dah...ni jambo linalosikitisha kwa hakika...Ikulu ni mahali 'patakatifu'. Ni lazima paheshimiwe...sasa mtu anakaa anavyotaka...What is this? Watu wa protocol Wako wapi?
CCM kama chama Cha kisiasa Kiko safi kiitikadi...no problem about that....the only problem and which is a huge and serious problem ni kwamba chama kimetekwa na matajiri wakiwemo wale wasio na interests za maslahi ya umma Bali interests zao wenyewe binafsi...
Basically CCM ni chama Cha wakulima...
Sawa..na Mimi ndiyo kwanza nimetoka kanisani kuliombea taifa ...ratiba inaendelea usiku wote kwa makundi mbalimbali ya kikatoliki kuongoza maombi na mafundisho..kilele kesho.
Sidhani kama Alaska ni mji....mji walipokutana Trump na Putin ni Anchorage ulioko huko Alaska
Kwa ufafanuzi zaidi, kwa mfano, viongozi wakikutana huko Kagera huwezi kusema wamekutana katika mji wa Kagera...usahihi mji mkuu wa mkoa wa Kagera ni Bukoba.
Ndugu yangu wewe bado mchanga wa mambo haya.....Tulia na usikilizie kinachoendelea....movie ndiyo kwanza imeanza..Mguto ataondoka, Kasongo naye atang'oka...Kidau naye yumo njiani...watoa hongo nao wa timu fulani waliohonga marefa na kufanya timu fulani ipore pointi 15 nao jela inawasubiri..Tulia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.