Recent content by 13august

  1. 13august

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kutembeza viatu grade one vya mtumba pamoja na mashati ya kiume

    Nitafute tufanye kazi, mimi niko mkoani naweza kuongea naww ntukafanya baishara ya moja kwa moja, yani ukaniuzia namimi nokauza huku . 0788 37 57 48
  2. 13august

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

    WAKUU VIPI, NAISHI DAR MAENEO YA MTONGANI, NISAIDIENI JAMANI KAMA KUNA ANAEJUE POPOTE PALE KWENYE MISHE YA YOYOTE ILE YA KUINGIZA PESA. nina 1.BACHELOR OF HR 2.FUNDI UCHOMELEAJI VYUMA (cheti ninacho) namba : 0716 291 217
  3. 13august

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

    anaishi Mbweni mkuu
  4. 13august

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

    Mapendekezo yake ni hizo mkuu
  5. 13august

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au usafi maofisini

    Habari zenu wakuu, nawasalimu sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nalifkisha hili kwenu ili kupata msaada wakuu, kuna binti anatafta kazi ya kuuza duka la nguo (zakike/kiume), supermarket, Usafi maofisini na pia yupo tayari kufanya kazi ktk kampuni yeyote ya mabasi aidha kusafiri na Bus au...
  6. 13august

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    you are the best up coming analysit katka masuala ya tabia za binadamu pengine na viumbe hai kiujumla. UNAJUA SANAAAAAAAA😂😂
  7. 13august

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

    Aiseee, umewaza sanaaa, ila sio mbaya ntamuambia jamaa mmoja ivi akutumie picha zake 😊
Back
Top Bottom