Recent content by 1120ulimwengu

  1. 1

    JamiiForums Tanzania Watumishi wapya wa serikali wanakaribishwa kwenye utumishi kwa kuambiwa wakawe wafanyabiashara

    Yeye Mtaka ni mfanyabiashara au mkulima!?Tuanzie hapo
  2. 1

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Jibu mujarabu kabisa,ok fine.Sasa Rostam sisi maLAYMAN tunaomba utujibu ile hoja kwamba mgodi wa makaa ya mawe wenye utajili wa matrilioni ya hela uliununua kwa bei gani,je mchakato ulikuaje?Ukitujibu hilo sisi kimyaa
  3. 1

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Better be careful of what they desire!Mexico haiwez kufurukuta kwapani mwa US kama ilivyo kwa UKRAINE kwapani mwa Urusi.Unapokuwa embedded na dola kubwa hata ukipewa mamlaka kamili(Taiwan/Hongkong in Chine as an e.g) huwez kuya'exercise utakavyo.So better wawe tu makini na matamanio hayo
  4. 1

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

    Unaweza usipate picha halisi ya jinsi wazee wetu walivyowapokea wakoloni/wafanyabishara wa utumwa nk mnamo karne iliyopita lakini HII picha inakupa mwangaza kabisa.Picha linakuonyesha namna mwafrika/mtu mweusi akinyimwa elimu anavyoBEHAVE🤣
  5. 1

    JamiiForums Tanzania Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    I thought you had guts but You don't.You are just threating people to be killed because of their opinions but you haven't killed even a hen.I challenged you for a hand to hand combat and you start shit..@yourself🤣🤣🤣🤣🤣
  6. 1

    JamiiForums Tanzania Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    wow natamani tukutane uso kwa uso with no any equipment,I real admire people who want 'smoke'!! I real want it.Yeah man 'hand to hand combat' will be nice.Many of you are not real men you are just piece of sh**t just mnabebwa..
  7. 1

    JamiiForums Tanzania Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    sideways..I will give you my phone freely kama kiapo endapo Serikali itamtia hatiani Lissu.I promise
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Lissu anategemea 'public sympathy' na dhana ya kuwa 'anaonewa' badala ya kutumia sheria kujinasua aliponaswa

    umeandika mengi lakin hakuna sehemu hata moja ulipoonesha sheria inayoweza kumtia hatiani na wala hujaonesha popote Lissu aliposema au kuonesha anataka sympathy!Umebwabwaja weeh mpaka ulipomaliza unapapasa tu,labda uko vizur kwenye kuropoka.Next time njoo na facts no one is here to defend Lissu...
  9. 1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Ndugai ndio spika aliyeruhusu kupitishwa kwa miswaada ya hovyo bungeni.Ndiye alipelekea kupitisha sheria mbovu ya usalama wa Taifa inayowaruhusu maafisa wa Usalama wa Taifa kuwa JESHI(usishangae hao wasiojulikana wametokana na sheria hii).Ndugai alipitisha sheria ya hovyo wakiwa na Masaju ya...
  10. 1

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba: Hoja kwamba nautaka Urais hizo ni ramli tu, muda bado upo

    When your dream remain a dream inches away😀😀😀😀
  11. 1

    JamiiForums Tanzania JWTZ lipewe mradi wa Mabus ya Mwendo Kasi liuendeshe , Likopeshwe MaBus , hapatakua tena na Uhuni kama huo unaoendelea !!.

    Yaan unamaanisha kwenye mabasi ya mwendokasi watu wanapitia dirishani!?
  12. 1

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni nani?

    Alienda kuhiji maka na makamera😀
  13. 1

    JamiiForums Tanzania Aweso majuzi mmesifiana na wenzio wa DAWASA, tangu siku hiyo maji yanatoka kama chozi la kenge

    Jiji la DAR ES SALAAM-Marekani ya watz😂😂😂😂
  14. 1

    JamiiForums Tanzania Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

    utaelewa tu
Back
Top Bottom