Nafanya DPF regeneration kwa gari zote za diesel zenye mfumo wa DPF kwenye exhaust kwa bei rafiki tu
Kama wew mostly ni trip town at least kwa mwezi ufanye DPF regeneration mara moja call me 0716495541-muharami
Karibuni
Garage nzuri ni Kwa DOCTOR MAZDA chang'ombe,MANAMBA SINZA,SANCHO MBEYA hawa Wanazijua Mazda ile kiundani
Service nilizofanya Kwa sasa ni kutoa steering rack,CV axle,wishbone bush,nilimwaga oil nikaweka liqui molly agent wao yupo mikocheni barabara ya cocacola
Mie nilitembelea bypass ya plastic...
Habari wakuu,
Mwishoni mwaka Jana niliagiza Mazda cx-5 2.2cc diesel ya mwaka 2015 maneno yalikuwa mengi sana before sijanunua hii gari,lakini Kwa kuwa professional yangu ni engeering nikasema wacha nicheck na watu wa ulaya nipate maelezo ya kina kuhusu hii gari na wenzetu Kenya hapo maana wao...
Zujuie chuchu za Mwanamke !
✍️Dr. William
- Maziwa ya mwanamke ni futa futa za nyama ambazo zina wingi wa mishipa ya damu.
- Uhai wa maisha ya mwanamke upo kwenye maziwa yake, hivyo piga pengine ila sio kwenye maziwa yake.
Maziwa ya mwanamke ndio husaidia mwanamke kukimbia zaidu, kama...
Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na secondary hali inayopelekea wazazi wengi wakazi wa maeneo hayo kuhofia usalama wa watoto wao pindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.