Recent content by 0ozg Tz

  1. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunaposema Jeshi lichukue Nchi kwa sababu Taasisi zote zimejifia tueleweni jamani

    Wanajeshi ndo wajinga kabisa,bora tubaki na haya mafisadi tu
  2. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Utetez wa kijinga kabisa Kanye
  3. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Walimu saba wafukuzwa kazi Baada ya kifo cha mwanafunzi wa miaka 12 aliyezama kisimani Shule ya Isenegeja

    Mbona huo ni umri wa kuolewa kabisa,miaka 12 yupo std 7
  4. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Walimu saba wafukuzwa kazi Baada ya kifo cha mwanafunzi wa miaka 12 aliyezama kisimani Shule ya Isenegeja

    Yaan wanaonewaga kama makondoo tu Sijaona kosa hapo la kufukuzwa hao walimu Tatzo la kazi ya ualimu hata diwani anaweza kukufukuza kazi
  5. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia anashindana na nani kwenye Urais?

    Mbona wapo wengi tu,mmoja juzi akasema eti atakuwa anawawekea vocha raia wote wa tz,pia atawalipa mshahara Na akaongeza kwa kusema kazi ya raia ni kuzaa tu serikali itatulea
  6. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    Kuna jamaa yupo facebook mfollow anaitwa "Daily betting tips" Hutojutia
  7. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

    Wanajeshi wetu hawana uwezo huo na wao wataishia kuwa mafisadi tu Hii nchi inahitaj katiba mpya tu
  8. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

    Kutawaliwa na jeshi bora tuendelee na hawa hawa majizi
  9. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Baba wa mmoja wa vijana waliouawa na miili yao kutupwa Mapinga asema mwanaye ni kama alinyongwa na kupigwa kwenye moyo

    Yaan awamu hii hawachek na wowote yaan kaishu kadogo tu wanakumaliza
  10. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kwa wale wajuaji, chukua mashine hiyo

    Jamaa anajiamin sana,hii ya familia pia,unaitoa nyumban
  11. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kwa wale wajuaji, chukua mashine hiyo

    Kvp mkuu
  12. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kwa wale wajuaji, chukua mashine hiyo

    Suzuk vitara
  13. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kwa wale wajuaji, chukua mashine hiyo

    Wako busy na mo29
  14. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kwa wale wajuaji, chukua mashine hiyo

    We ndo kichwa kigumu,nimesema wajuaji,unakuja wew ambae usiejua mambo yanakwendaje
Back
Top Bottom