Recent content by 0905

  1. 0905

    Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. 0905

    KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

    Pia sio mashirika yote ni ya hovyo Tuko tunakula bata Chuga huku kiroho safi na International NGOs
  3. 0905

    KERO Mashirika ya kigeni yanayojiita Humanitarian au International NGO's na kasumba za ubaguzi kwa waajiriwa wazawa!

    Nilisikia MD wa MSF Nduta analipwa 2.8M gross Hyo laki 8 ni kwa title ipi[emoji848]
  4. 0905

    Vyumba vya kupanga master bei na eneo hapa Arusha mjini!

    Maana instagram naona nyumba nying ziko Moshono na Olasiti Labda kama kuna mtu anafahamiana na dalali mstaarabu naomba aniconnect
  5. 0905

    Vyumba vya kupanga master bei na eneo hapa Arusha mjini!

    Vipi Olasiti? Ni mbali sana,?
  6. 0905

    Vyumba vya kupanga master bei na eneo hapa Arusha mjini!

    Naomba kushauriwa Mtu anayefanya kazi Summit Centre Arusha inafaa apange chumba wapi?
  7. 0905

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  8. 0905

    Nahitaji kupata maumivu ya kupata ajali nijisikie itakuwaje

    The laws of nature gives you wat u desire Jaribu ku rethink mpendwa
  9. 0905

    Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    I am very disappointed aisee Yan nlkua naamini kila kilichokua kinaendelea Leaders Club via my youtube lakin baada ya kuona miamala ina option ya kureply text, nguvu zmeniisha kwakwel..Dah Na ishu ya Bandari ikaongelewa tukaambiwa tusiwe na hofu..all shall be well in Tanzanians favour!
  10. 0905

    Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Hatubishani tunajaribu tu kureason under mere common sense
  11. 0905

    Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Meseji za kwenye miamala yako zinakupa option ya kureply?
  12. 0905

    Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Nmerudi kuangalia vdeo aisee,nkafananisha na miamala ya kwny simu yangu Nmeona meseji zao za miamala zna sehemu ya kureply tofaut na miamala yetu ambao hatukua leaders club Dah!
  13. 0905

    Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

    Kwa attitude hii hata huu mchongo unaoutafta ni bahati so choose to be positive Trust in God Punguza kuwa desperate All shall be well!
Back
Top Bottom