Recent content by 0782561354

  1. 0782561354

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya ajabu

    Mtu akamatwa kwa kesi ya gongo hukumu ilikuwa kama ifuatavyo. Jaji: Nakuhukumu kwa kosa la kuuza gongo Mtuhumiwa: Me siuz gongo mnanionane 2 Jaji: Si tumekukamata na kifaa cha kutengenezea gongo Mtuhumiwa: Dah sasa si mmenikuta na mashine 2 lakini siuzi Jaji: Hata kama Mthumiwa: Basi nikamateni...
  2. 0782561354

    JamiiForums Tanzania Ni mipango ya mungu tu had kumpata sehem ya 03

    Sehem:03 Haikua taarfa nzur kwa gaby kusikia kua hatoweza kutembea tena alihisi labda maisha yake ndo yameishia pale.Mama yake alimpa moyo kua pale sio mwisho wa maisha na mungu yupo ana imani ipo Sikh atapona na atatembea kama kawaida.Hans alijisikia vibaya na kujilaumu kwanin hakua makin wakat...
  3. 0782561354

    JamiiForums Tanzania Yote ni mipango ya Mungu sehemu ya pili

  4. 0782561354

    JamiiForums Tanzania Yote ni mipango ya Mungu sehemu ya pili

    "Equation x, oky ucjal mdau wang ipo sehem ya tatu nmeiandaa Una kipaji mkuu,toa chapisho
  5. 0782561354

    JamiiForums Tanzania Yote ni mipango ya Mungu sehemu ya pili

    Sehem:02 Haikua kitu rahisi kwa mama yake Gaby kukubal kua mtoto wake ndo amekua mlemavu wa kudumu.Maureen aliingia kwa daktar ili kujua nn kimetokea lakn daktar alimwambia kama alivyomjibu mama yake Maureen aliumia kusikia kua dada yake hatokua na uwezo wa kutembea tena. Walitoka chumba cha...
Back
Top Bottom