Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0752684160,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana Dodoma.
Ndugu yangu naona unataka kufeli zaidi,utafirisika hata hicho kidogo kilichobaki,unamwamini binadamu na siyo aliyekupa pumzi hiyo unayoivuta.Mwamini Mungu ili abadilishe maisha yako yeye ndiye suruhisho wa changamoto zako.
Naenda moja kwa moja kujibu swali lako
Swali mnalopaswa kujiuliza mmeanzisha biashara kwa lengo ngani?
Wateja wako ni kinani?
Location ya biashara yako imekaaje?
Washindani wako unawafahamu?
Ubora wa bidhaa zako zikoje?
Bei ya bidhaa zako zinafanana na za washindani wako?
Customer care na...
Habari wapendwa.
Tunauza asali jumla jumla na reja reja
BEI ZETU
*170g Tsh 2000 jumla na 3000 reja reja
*300g Tsh 6000 jumla na 7000 reja reja
*500g Tsh 8000 jumla na 9000 reja reja
*28kg Tsh 185,000 (lita ushirini)
Asali yetu ni tamu sana imethibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (tbs)...
Hapana hizo ni hulka na mawazo ya kibinadamu,jambo la kuolewa halina mda wala ukomo wa umri.
Mimi binafsi nimeshuhudia ndoa nyingi sana ambazo wanawake wameolewa wakiwa above 35.
Mambo ya msingi za kuzingatia ili kutengeneza njia ya kuolewa
-Kujipenda kwa kuvaa vizuri na kuwa na muonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.