EMMY...... 05
Lovi Pius Kijogoo.
0757 238 304.
SEHEMU YA TANO.
ILIPOISHIA.........
Mage alimfata Emmy na kumwambia, "Tufanye tuondoke, muda umekwenda, kwani kaenda wapi huyo mzee?"
"Kaenda msalani, ngoja arudi tua..!"
Kabla hata hajamaliza kuzungumza, mzee Don alirejea, wakamwambia...