Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Subwoofer inaitwa Audio sky ni 200w Ina spika fupi 5 na bass 1 Subwoofer hii inatumia Bluetooth, flash, memorycard BEI LAKI 195,000 kwa mteja anae itaje kama yupo dar es salaam basi aje dukani...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kipo Goba njia 4 kama unaelejea madale, 3 km kutoka pale round about. Ukubwa mita 25 kwa mita 25 Bei 12.5m Maongezi zaidi 0756060183
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello Naomba kupata experience expert and successful social media marker na copywriter tuongee kuhusu kunifanyia mentorship Kwenye kumjua au kama yupo humu please naomba tuwasiliane Asanteni
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Karibu mwana jf ujipatie subwoofer nzur yaki janja ikiwa na spika 5 inatumia kilakitu flash, Bluetooth, memorycard, rimont na warrant mwaka 1 KAMA UPO DAR ES SALAAM UNAITAJI TUKULETEE NYUMBANI...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Pata mkopo chap chap kwa masaa 24 kwa kutumia kadi ya gari yako kama mdhamini. Pata Mkopo hadi Tsh. 10 Million ndani ya masaa 24 kwa kutumia kadi ya gari yako. Tunapatikana mikocheni Dar es...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Wasiliana na Dalali Salumu anaepatikana Goba mwisho kwa mahitaji ya Viwanja vya ukubwa tofauti Fremu za Biashara mbalimbali Appartments Nyumba za kuuzwa na za kupanga Vyumba vya kupanga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
REF:FB14431567686243 VITALIS KONGA JOHN umefanikiwa kulipia CCM PAYMENT INV:1513911 TZS1200 RECEIPT:RC-00006-26405 TAREHE:2019-09-05 15:24:03Vitalis Konga
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari mtanzania. Je unahitaji kujiajiri kwa kupitia ufugaji? Sasa unaweza kupata mashine za uanguaji kwa gharama nafuu kuanzia mayai 120-5000 mashine zetu ni full automatic na tunaziundia hapa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Natafuta nyumba iwe na sifa zifuatazo 1.iwe mikocheni Dar es Salaam 2.iwe fulfurnished (yaani na furniture zake) 3.iwe na vyumba vitatu vya kulala na ACs 4.bei yangu isizidi 1,000,000...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Habari kama kichwa kinavyojieleza Ninahitaji warehouse yenye sifa zifuatazo 1.Iwe na ukubwa wa120 sqm 2.Iwe certified na TBS kwa ajili ya kuhifadhia Food Products 3.Iwe na refrigerator au AC...
0 Reactions
3 Replies
889 Views
, iwe plug and shave na sio Rechargable
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Wakuu mi nataka tubadilishane. nina kitanda kipya futi 4 kwa 6 na godoro lake nchi 6.Pia nina Pasi ya umeme na kiti cha plastic.Vipo Kigamboni, usafiri ninao. Vyote hivi nabadilishana na TV ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwema Wakuu Nahitaji gari tajwa kwa ajili yakunibebea mahindi shambani. Kama unamjua mtu aliyenayo/anyefanya biashara ya kusafirisha mizigo hapa Arusha, tafadhali usisite...
0 Reactions
7 Replies
768 Views
Heshima kwenu, Nahitaji kupata gari iwe Lori itapendeza zaidi. Nina kamzigo kadogo nataka kusafirisha kutoka Tanga mjini kwenda Morogoro mjini au Ifakara. Mwenye roli/fuso linalokuja Tanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lipo kwenye hali nzuri, linatumia diesel na ni Kva 38. Lipo maeneo ya ununio bei ni 14m maongezi pia yapo kwa yeyote anaehitaji anicheki pm. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf? Laptop hizi zipo sokoni kwa bei ya 450,000 kwa kila moja. Zinapatika jijini Dar es salaam kwa namba 0712504985.
0 Reactions
3 Replies
973 Views
NAUZA KIWANJA CHANGU MBEZI MAKABE CHENYE UKUBWA WA 21 X 20, KIPO MBEZI-MSUMI, DAR-ES-SALAAM. NISEHEMU NZURI YA KUJENGA NA KUHAMIA, UMEME UPO NA NI KARIBU NA BARABARA KUU MANAFIKIKA KWA GARI BILA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Mashine ipo kwenye hali nzuri sana bei ni laki tatu tu Kwa mawasiliano 0719590756
0 Reactions
20 Replies
6K Views
  • Closed
Gari aina ya nissan terano la kibalozi linauzwa bei sawa na bure ni dola 1700 tu gari ipo kwenye hali nzur sana halina michubuko wala kurudiwa rangi Shughuli zake ni kupeleka wanafunzi shule...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Spika hizi sio kwamba ni spika tupu hapana hizi ni spika zenye REDIO inayo tumia Bluetooth, flash BEI ZAKE NAMBA 5 - ELFU 35,000 NAMBA 6- ELFU 70,000 NAMBA 8-ELFU 90,000 NAMBA 10- LAKI 125,000 NJO...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…