Natafuta warehouse kwa ajili ya kuhifaadhia food products

Aug 23, 2019
8
16
Habari kama kichwa kinavyojieleza
Ninahitaji warehouse yenye sifa zifuatazo

1.Iwe na ukubwa wa120 sqm

2.Iwe certified na TBS kwa ajili ya kuhifadhia Food Products

3.Iwe na refrigerator au AC itakuwa poa zaidi

4.Location iwe Dar es Salaam

KAMA KUNA MWONGOZO MWINGINE ZAIDI YA HAYO NINAYOYAHITAJI MNAKARIBISHWA KWA MAONI

Mawasiliano : 0688 8888 43 / 0677 81 82 83
 
Haujasema unataka like mkoa/eneo gani
 
Lipo hapa Mishamo wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi.. Lina kila unachohitaji...
 
Back
Top Bottom