Tunaunda na kuuza incubator

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,450
1,250
Habari mtanzania.
Je unahitaji kujiajiri kwa kupitia ufugaji? Sasa unaweza kupata mashine za uanguaji kwa gharama nafuu kuanzia mayai 120-5000 mashine zetu ni full automatic na tunaziundia hapa tanzania.

Pia tunauza spare za incubator na kufanya service kwa mashine za uanguaji. Tunapatikana dar tabata. 0764870930

 

Mr Henry

Member
Jun 9, 2017
27
45
HABARI MTANZANIA.
JE UNAHITAJI KUJIAJIRI KWA KUPITIA UFUGAJI? SASA UNAWEZA KUPATA MASHINE ZA UANGUAJI KWA GHARAMA NAFUU KUANZIA MAYAI 120-5000 MASHINE ZETU NI FULL AUTOMATIC NA TUNAZIUNDIA HAPA TANZANIA. PIA TUNAUZA SPARE ZA INCUBATOR NA KUFANYA SERVICE KWA MASHINE ZA UANGUAJI. TUNAPATIKANA DAR TABATA. 0764870930
ok ya mayai 120 ni sh ngap?
je zinaangua baada ya muda gan?
 

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,163
1,500
mimi nimekuja tofauti leo, mimi nimesomea kilimo, na ninatoa elim bure ya toka kulima hadi kuvuna ,kwa nini ninyi watengeneza incubator msitoe elim hiyo ya kuzitengeneza hum bure?msiwe wachoyo wa fadhira
 

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,450
1,250
Huwezi fundishwa kwa msg iyo huwezi elewa. Maana kila kitu ni umeme na vipimo
 

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,450
1,250
mkuu sema hujataka tu,hakuna kinacho shindikana
Aya nikikuambia unga waya wa comon wa motor na waya wa fani wa kutolea hewa chafu na waya wa unyevu pamoja uziweke kwenye common utaelewa. Bora mapishi utaelekezwa kwa msg ila ufundi sizani
 

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,163
1,500
Aya nikikuambia unga waya wa comon wa motor na waya wa fani wa kutolea hewa chafu na waya wa unyevu pamoja uziweke kwenye common utaelewa. Bora mapishi utaelekezwa kwa msg ila ufundi sizani
hahaaaaaaaa,haya bana, nipe bei ya heater, fan ,senser ya joto na humidity ,motor na system ya kugeuza tray, pia vinapatikana wapi
 

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,450
1,250
Air heater watt 200 sh. Elfu 35
Watt 400 sh. Elfu 45

Water heater watt 250 sh. 30000
Sensor ya joto elfu 15
Na unyevu elfu 15

Motor ya kugeuzia elfu 60
 

DE FULE

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
1,152
2,000Hii tumeunda leo
Mkuu kuna haya maneno yanayosemekana kuwa hizo mashine ufanyaji kazi sio wa uhakika yaani katika kutotolesha haziangui mayai yote mfano zinaweza kuangua 60 katika 100. Unaelezeaje hii? Je, ni aina ya mashine au ni nn? Na je mna guarantee kwenye mashine zenu?
 

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,163
1,500
Air heater watt 200 sh. Elfu 35
Watt 400 sh. Elfu 45

Water heater watt 250 sh. 30000
Sensor ya joto elfu 15
Na unyevu elfu 15

Motor ya kugeuzia elfu 60
shukran mkuu, haya ndo maneno sasa, vp vinapatikana wapi vifaa hivi mkuu
 

Neils bohr

Member
Aug 27, 2015
77
125
Air heater watt 200 sh. Elfu 35
Watt 400 sh. Elfu 45

Water heater watt 250 sh. 30000
Sensor ya joto elfu 15
Na unyevu elfu 15

Motor ya kugeuzia elfu 60
Mkuu hivi vifaa vinapatikana wapi ? Nina mashine yangu imekufa hiyo sehemu ya controller
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom