Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu. Gps car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Ninauza simu ninayoitumia. Ni Infinix Hot 6. Internal Memory ni 16GB na RAM ni 2GB. Inakaa na chaji zaidi ya saa 18 data ikiwa ON, na siku mbili data ikiwa OFF. Haina shida wala tatizo lolote...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Niko kilombero ifakara nahitaji trekta lenye uwezo wa kulimâ ekari 1000 .kwa makubaliano maalumu.zingatia trekta lifike ifakara 07170591799
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Naomba kama kuna mtu anauza mayai bei ya jumla au kama una mtu wa karibu unamjua naomba nisaidie namba zake. Nataka kama trey 300.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya betri za gari . Bei nafuu Aina za betri. Sealed Dry cell na za maji. Saize za betri na bei ni. N 40 .75000 ,N 50 .95000, N 70. 110000, N 100 . 13000, N 120. 150000 , N 130...
1 Reactions
5 Replies
18K Views
Maelezo: Gari ni mpya kabisa haijawahi kutumika ndani ya Tanzania. Baada ya kulipia utafanyiwa usajili. Body ndefu Inabeba abiria 29 Engine type: KK-HDB51-FTE valve 24 Automatic transmission Full...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza madini hayo hapo chini natokea Tanga korogwe. Hiyo ya kwanza ni change colour ya purple. Hiyo ya pili nje nyeusi lakin ndani inaonekana nyekundu. Mawasiliano 0715831041.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wauzaji wa vifaa mbali mbali vya mgahawani,bakery na mashine mbalimbali za uzalishaji Tupo Kariakoo Tupigie/whatsapp 0788622610
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwema humu. Mtu mwenyeuwezo wa kunitafutia magari 10-20 aina ya pick up double keebin. Either nissad hardboard, Navara , Fold Ranger , Hillux zenye kutumia diesel inawezekana kukodi hata kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za mchana ,Kwanza Naomba nisahihishwe spelling za kuroilers kama nimekosea Pili wapi naweza pata soko la jumla kwa kuku aina ya kuroilers,wapo kuloires 65+ nimejaribu kuzunguka masokoni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa yeyote mwenye connection ya mimi kupata chicken water cups kwa bei ya shilingi 1500 kwa pisi moja nahitaji aniunganishe na muuzaji au aniuzie
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Viatu aina ya honeywell vina ngozi imara sana ambayo unaweza kutumia hata miaka 10. Ni viatu vya fashion na pia ni vya mazingira magumu ,kazi na kadhalika Size 42 au namba 8 Napatikana Dar,hata...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kiwanja Kinauzwa Eneo: Salasala Mwisho,baada ya Ukivuka Mto. Ukubwa: Kiwanja ni 25M Kwa 20M [500Sqm] Bei : Tshs 15Milioni [ Mazungumzo] Mawasiliano: 0675107182
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Pata wireless CCTV camera zenye umbo la bulb (spy camera) zinazotumia memory card kwa offline mode au WiFi kwa remote monitoring. Zinawaka kama bulb za kawaida hivyo ni ngumu mtu kuzitambua kama...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
  • Closed
Habarini wakuu. Kabati la mbao linauzwa ( sio mchina). Receipt ipo. Jipya kabisa, kwaajili ya utunzaji mzuri. Linapatikana kimara mwisho. Bei ya mwisho 220k. Picha zipo chini. Ukilipenda...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
natafuta kamziki kokote ka sony au panasonik nnakalaki mbili nanusu ntapata kweli msaada jameni au kama kuna mwenye nayo
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Karibu Hawa_Mitumba kwa mitumba Grade One kwa bei nafuu kabisa . Blazers za kawaida kuanzia 5000 hadi 8000 Chiffon blouses sh 5000 Tupo mkoani Mbeya maeneo ya Chuo cha MUST Mikoani tunatuma kwa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji hydraulic pump kwa ajili ya kuunda press machine, vifaa vingine kama boom na fremu ninavyo.
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…