Nauza viatu bei nafuu sana

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
588
784
Viatu aina ya honeywell vina ngozi imara sana ambayo unaweza kutumia hata miaka 10.

Ni viatu vya fashion na pia ni vya mazingira magumu ,kazi na kadhalika
Size 42 au namba 8 Napatikana Dar,hata mkoani natuma.

0784112347
20191115_125233.jpeg
 
Nauliza Mara ya 4,una pea moja au pea nyingi nataka tufanye biashara Kama unapea nyingi
 
Madhara ya kununua online...Tangazo na bidhaa halisi ni Tofauti kabisa...Anyway ngoja waje wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom