Nataka mayai kwa Tsh. 7700 trey, hapa Dar

Nataka mayai kwa Tsh. 7700 trey, hapa Dar

Makorani ngwedeli

New Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Naomba kama kuna mtu anauza mayai bei ya jumla au kama una mtu wa karibu unamjua naomba nisaidie namba zake.

Nataka kama trey 300.
 
Mara ya mwisho kununua mayai yalikua yamepanda sana sijui kama yalishuka kiasi hcho mpaka upate trey kwa 7700, ila tusubiri wadau kama watakuelekeza
 
Mmh 250? nahisi yana chemicals mpaka zinatiririka uwiii[emoji30]
Hapana. Kuna muda yanapanda na kushuka. Sasa hivi wafugaji trey wanauza 4500-5500

Dukani 300 huku nilipo. Kuna maeneo huko banana ndani ndani moja dukani 200.(sasa piga hesabu trey itakuwa shingapi😀😀)
Ukipita kwenye maduka ya jumla moja 200-250 huku nilipo.
 
Hapana. Kuna muda yanapanda na kushuka. Sasa hivi wafugaji trey wanauza 4500-5500

Dukani 300 huku nilipo. Kuna maeneo huko banana ndani ndani moja dukani 200.(sasa piga hesabu trey itakuwa shingapi[emoji3][emoji3])
Ukipita kwenye maduka ya jumla moja 200-250 huku nilipo.
Aisee hiyo bei, nomaa kwahiyo huu ni msimu Wa mavuno ya mayai eeh
 
Back
Top Bottom