Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, Projector used ziko sokoni, Njoo tufanye biashara Pics attached. Bei:400,000 Tuko Dar es Salaam Karibu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Samsung Flat TV Inch 24 Condtion New USB☑️ Flash☑️ Unapewa na full accessories Price 250,000 Phone 0675 053 168 WhatsApp 0747 765 944 Delivery kwa dar Mkoani tunatuma.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello ndugu, nauza toyota RAV 4 yangu ipo Daressalaam maeneo ya Mbezi beach Ina cc 1790 engine 1zz. Contact 0744952984 0718221009
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Text me your price 0693341234 ~128 GB ~Looks new ~83% Battery health
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Nyumba ipo maji ya chai Arusha, ina eneo la 15*15 ipo hatua 20 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Haijamaliziwa ipo kwenye plasta. Bei ya kutupa nina shida na pesa kwa sasa. Serias buyer njoo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Simu imetimiza mwaka sasa na warranty yake inaisha mwezi huu. Risiti na box lenye serial number na IMEI lipo kuthibitisha. Screen yake ina crack kidogo kwa upande wa juu
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Wasiliana nasi kama unahitaji njegere nzuri za kiwango cha juu. Zitakufikia Popote ulipo Tanzania kwa wingi na kwa bei rahisi. Kwa mazungumzo wasiliana nami kupitia namba hii: 0715531232
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji housing ya EVERNAL feni ya ukutani vikiwa kwenye hali nzuri, kwa yoyote atakayekuwa navyo tuwasiliane 0659-358-599
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu, Nauza mashuka ya mtumba ni mazuri mno. Kwa Tsh 20,000 unapata shuka moja na foronya zake mbili, pia kwa jumla ni Tshs 15,000 kuanzia shuka 5 karibu sana. Mawasiliano: 0783358788
1 Reactions
7 Replies
3K Views
nahitaji gearbox, yangu inachelewa kubadili gear na nimeweka oil mpya lakini bado tatizo liko palepale, nimeshauriwe ninunue grear box nyingine, msaada tafadhali ni pajero jr II
2 Reactions
4 Replies
994 Views
Kwema Wakuu, Nina PC Imekaa Store Kwa Muda Almost Mwaka. Nzima Na Inafanya Kazi Specification Zake Hizi Hapa. TOSHIBA C850 RAM 2GB HDD 320 (Not Included Kama Utahitaji Utaongeza Elfu 30) Wifi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta suzuki samurai pick up. Mwenye nayo naomba anicheki PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji pesa ya haraka nauza gari yangu Namba C. Model:Nissan Skyline,Saloon Closed top YoM:2004 Rangi ya gari: Pearl White Hali ya Gari:Nzuri inatembea Bei: Milion Tano na Laki 2 (5,200,000=/=)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni kisamvu ni kilaini, kizuri na kitamu. Napatikana dar, mbezi beach 0783358788
9 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari, natafuta maduka hapa dar es salaam ambapo naweza kupata pikipiki ya honda ama yamaha, 250-400 cc iliyotumika nje ya Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nahitaji Diagnosis ya kucheki matatizo ya gari japo used kwa aliokua nayo ama anweza kunisaidia upatikanaji wake anijulishe bei itaendana na aina ya mashine iliopatikana Asante.
0 Reactions
1 Replies
894 Views
nataka kufungua duka la nguo za kiume zile za dukani za kinyamwezi za mabishoo na mabrazameni.naombeni chimbo ambalo naweza kuagiza mzigo kwa bei nafuu na ikiwezekana mchanganuo wa biashara...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wanabodi? Kama kichwa cha bandiko hili kisemavyo, nahitaji Iphone 6 plus. Bajeti yangu ni Tshs 400,000/= Kama kuna mtu anajua chimbo linalouza simu za iPhone kwa huku Kariakoo naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba, Nyumba, Viwanja, Mashamba, Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach, magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom