myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 157,903
- 687,138
nahitaji gearbox,
yangu inachelewa kubadili gear na nimeweka oil mpya lakini bado tatizo liko palepale, nimeshauriwe ninunue grear box nyingine, msaada tafadhali
ni pajero jr II