Ndio bei zake mkuu wangu,si unajua kila biashara lazima upate faida kidogoMbona expensive hivyo for a used one mkuu?
Lamp yake tunaweka mpya,so hiyo statement yako labda haiko validWakuu kuweni makini, projector sio sawa na tv au king'amuzi. Projector zina lifespan zake za masaa ya kufanya Kazi,usije kununua projector iliyobakisha masaa kadhaa kabla haijasizi.