Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Njoo Mwenge sokoni nyuma ya hotel ya jamilex ambapo kuna benk ya ECO BENK na AZANIA BENK utaona bango pita njia tokea barabara ya nyuma utaona jengo la gorofa moja juu kuna utaona bango la SUMSANG...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa. Tunatoa huduma inayorahisisha zoezi la upigaji picha na kuzichakata km inavyohitajika kwa ghrama nafuu popote ulipo. Gharama Picha moja utachangia sh. 100 tu Kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni mabingwa wa kutengeneza simu za aina zote, iwe software /hardware zote tuna deal nazo. Tunapatika Kariakooo mitaa ya Lindi na shauri Moyo stand ya Mwendo kasi GEREZANI. Kwa huduma bora na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu, nauza water dispenser ndogo, ni nzima kabisa haina tatizo lolote BEI: laki mbili tu LOCATION: Moshi Mjini SIMU: 062 472 9398 Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini ... nauliza kama kuna mtu anaweza kusoma location ya mtu kwa kutumia namba ya simu accoment hapa fasta.. nna shida ya haraka na ntamlipa
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Wadau wa JF nawasalimu, Nimevunja kioo cha PC yangu aina ya Mac ya mwaka 2012. Nimeambatanisha picha ambayo inaweza kusaidia specifications zake. Kama unayo wasiliana nami kwa namba 0622 328 549...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Habari zenu wakuu, natafuta chumba na sebule choo ndani maeneo ya kawe had msasani au maeneo ya karibu na hayo, bajeti yangu ni tsh 100,000/=namba yangu ni 0686591570. Natanguliza shukrani
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Vitu Used (ila kwa hali nzuri karibia na upya) vinauzwa!!!!! Mahali: Shinyanga Mjini Sababu ya kuuza: Nahama Mkoa 1/Dressing table (inahitaji kioo, rangi na vitasa)-mbao 2/Pasi ya umeme...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa utafiti mdogo niliofanya kuhusu mwenendo wa biashara katika soko la kariakoo nimeona kuna fursa ambazo zinaweza kusisimua zaidi biashara na kuwezesha kukuza mauzo ya wamiliki wa maduka ya nguo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
OFFER kabambe kutoka D-TECS Group! Chagua huduma unayohitaji kati ya zifuatazo tukufanyie kazi nzuri na TUKUPE ZAWADI kutoka restaurant ya kisasa ya mihogo inayobamba hapa town ya NEYSCASSAVA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu Karibu Karibu Karibu upate Viwanja eneo la Vikawe. Eneo: Vikawe (Baobab Shule) Umbali: Km 3 kutoka Bagamoyo road Bei: 13000 kwa mita mraba Umeme na maji vimefika eneo la mradi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Inatatizo la Display Bei 200,000 Mawasiliano PM Usumbufu usio wa lazima hapahapa Bettery Health Service Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Habarini wapendwa naitwa fadhila Dadi napatikana Masasi mjini nina Tani 18 za njugu mawe natafuta mteja wa Nafaka hizo bei ni maelewano lakini bei elekezi ni 2000Tsh Kwa muhihitaji anione kupitia...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari yako mwana jamii. Naiuza camera aina ya 7d Plain pamoja na lens standard ya 18-55 mm kwa Tsh 1,200,000. Camera bado ni mpya sana, tangu inunuliwe dukani imefanya kazi mara mbili tu na ina...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Toyota Allion 1750cc, km 72482, year 2002, Bei M12 tu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, kama unahitahi graphics za aina yoyote naomba tutafute, tunatengeneza katuni, animation za aina zote, Matangazo ya aina zote, Audio, video, 3d, animations, postares n.k Pia tunafanya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Geospatial Land Consulting Inakuletea Viwanja Kibaha. Eneo: Pangani ( Nyuma ya soko la Loliondo) Bei: 8000 kwa mita mraba Umbali: Km 2 kutoka Morogoro Road Viwanja vimepimwa kwaajil ya makazi Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aina - TOSHIBA storage - 1,000 GB location - Mwanza Price - 100K contacts - PM au 0628301473 NB- imejaa movie na series kali kibao Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni used. Ni salama (sio ya wizi) Bei ni Tsh 350,000/= tu Njoo in box. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mdau anahitaji chumba cha sh. Elfu 30 lakini uwezo wa kulipa ni kila mwezi kwa alie nacho au anaejua kilipo kwa kuanzia Davis Corner hadi Buza kwa Lulenge tuwasiliane pm. Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…