Habari kama habari inavyojieleza ofa yangu milioni tano mpaka 5.5 iwe imenyooka. Karibuni.
Lengo ni usafiri wa hapa na pale mjini matumizi binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji Vits old model au Nissan march mwaka uwe 2003+, cc 990 au 1290,muuzaji asiwe dalali awe mmiliki, ofa yangu milioni 5.0 hadi 5.3,
Mawasiliano yangu 0744 735852.
Kama una wazo LAKO la biashara lakini kikwazo ni mtaji na mtaji wake ni kati ya 250k na 400k nione pm
Ukiwa na wazo halisi la biashara yako
Mdhamini
Pia uwe tayari kuandikishana kwa mwanasheria...
Nyumba inapangishwa ipo Kwembe, Mbezi mwisho upande wa ofisi mpya ya manispaa ya Ubungo (Luguruni)
- Ina 2 bedrooms (chumba kimoja master)
- Store, sebule na jiko la kisasa.
- Imezungushiwa...
habar kitanda kinauzwa location ilala ni kitanda + baby walker + godoro na mito yke + neti kwa bei poa laki 320000 kwa mawasiliano zaid njoo dm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahitaji ya fundi tiles usisite kunitafuta....
Nyumba yako Fahari yako ifanye iwe ya tofauti kwenye sekta ya Tiles....
0676 214 974 WhatsApp
0714 122 011 Call/txt
Karibu tukuhudumie...
Kitanda cha mbao mninga kigumu na imara laki moja na 80 pungufu karibu
5*6
Dstv bila dish elfu 42 tu
Jiko la gesi elfu 60 tu unapewa na pipe yake na regulator ni kuunga na mtungi wako tu
Sofa...
Habari wakuu, nina king'amuzi cha dish cha StarTimes na nahitaji mtu ambaye ana king'amuzi cha Azam tubadilishane.
Kwa aliye tayari anicheki kwa namba hii 0764454071
Napatikana Shekilango, Dar...
Nahitaji pikipiki aina ya TVS HLX 150 iliyo katika hali nzuri yenye usajili wa namba C
Bajeti yangu ni 800000 mpaka 880000
Napatikana Gongo la mboto kwa anayeuza anicheki pm
Naomba ushauri kwa wanajamvi wazoefu kwenye vifaa vya muziki
Nahitaji home theatre music system. Je, ni aina gani nzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanaharakati wenzangu natafuta mtu amabaye ana experience katika masuala ya chakula tufanye kazi pamoja vifaa vyote vipo vya chips, chakula na machine ya juice ya miwa kama upo interested...
Now available at Dar es salaam.
Gadget za kufukuza inzi,mende, panya, sisimizi, nyoka,mijusi, buibui n.k ndani ya nyumba yako. Haitumii kemikali. Check video hindi inavyofanya kazi hapa
Place...
Nina 8 millioni.
Nahitaji Toyota IST
Cc 1290
Namba kuanzia DK na kuendelea
Hali nzuri ya gari...isiwe na mashida shida.
Sihitaji habari za dalali
Majina ya kadi ya gari yafanane na majina ya...
Drive in Lodge iliyo maeneo ya msata pembezoni kidogo mwa barabara ya Bagamoyo inawakaribisha wasafiri wote mnaolekea tanga,Moshi na Arusha hata chalinze na bagamoyo kwa misosi mitamu itayokupa...
Habari Jf,
Mwenye sehemu au taarifa za sehemu ambayo unahitaji mtu kufanya biashara ya chipsi au mgahawa naomba anipm kwani nahitaji sehemu ya biashara
Eneo ni Dar es salaam hususani kuanzia...