Tunachimba visima tunafanya surveying, flashing

Visima tz

Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
7
Reaction score
2
0714453589
0621711451
20181015_094502.jpeg
20181013_122446.jpeg
20181006_144621.jpeg
20181016_122755.jpeg
20181015_163046.jpeg
20181013_173712.jpeg
 
Mkoa gani upo?
Ufuate utaratibu wa kuandika matangazo ili kuepusha maswali ovyo ovyo kama hilo uliloulizwa.

Endapo tangazo lingekuwa limekamilika, mtu akivutiwa na huduma yenu angezama moja kwa moja PM mkayajenga zaidi
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Ufuate utaratibu wa kuandika matangazo ili kuepusha maswali ovyo ovyo kama hilo uliloulizwa.

Endapo tangazo lingekuwa limekamilika, mtu akivutiwa na huduma yenu angezama moja kwa moja PM mkayajenga zaidi
Tatizo mkuu hatuwezi orodhesha maeneo yote na gharama maana mteja anaweza sema site yangu ni kilometa 5 na mkapatana bei kumbe umbali wake ni zaidi ya kilometa 30 ndo maana tunaweka namba za simu kama mteja atahitaji huduma basi atapiga ili atoe maelezo sahihi au apewe maelekezo sahihi
 
Umejibu ila hilo jibu sio kwa mtu aliyeserious na kazi yake.

Kila la kheri mkuu
 
wachimbaji visima virefu na vifupi Tanzania
bei zetu kama zifuatazo kila mkoa

Dar - mita moja tunachaji 50,000

Pwani - mita moja tunachaji 65,000

mikoa iliyobaki 90,000 kwa mita

mawasiliano yetu ni

0766438286- Voda haina whasap

0686733292- Airtel ina whasap

0714453589- Tigo ina whasap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom