Nyumba inapangishwa Mbezi Mwisho

thisdayes

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,610
4,556
Nyumba inapangishwa ipo Kwembe, Mbezi mwisho upande wa ofisi mpya ya manispaa ya Ubungo (Luguruni)

- Ina 2 bedrooms (chumba kimoja master)

- Store, sebule na jiko la kisasa.

- Imezungushiwa ukuta, parking ya kutosha.

- Kilomita 1 toka main road (Morogoro Road), maji ya Dawasa yapo.

- Kodi kwa mwezi laki 2 na nusu.

- Mawasiliano; 0653 568099, 0755 089383 namba za mmiliki siyo dalali.

Msiopajua Luguruni ni vituo takribani viwili toka inapojengwa Stendi mpya ya ma bus ya mikoani Mbezi Louis au stendi ya daladala ya Mbezi Mwisho.

Karibuni sana.

IMG-20200127-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu bei maongezi yapo, wengi siku hizi hatufiki Posta. Jiji limepanuka, Kuna wengine ofisi zipo Masaki, Ubungo, Mlimani city, Kibaha, Tegeta n.k
Bei ni kubwa halafu mbali sana huko. Mafuta mpk Posta au kkoo hapo ni 20,000 Kama unatumia vitz. Ukizidisha mara 30 inakuwa laki 6. Sasa si Bora uchukue apartment ya laki 5 Upanga unaenda Posta au kkoo kwa mguu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba inapangishwa ipo Kwembe, Mbezi mwisho upande wa ofisi mpya ya manispaa ya Ubungo (Luguruni)

- Ina 2 bedrooms (chumba kimoja master)

- Store, sebule na jiko la kisasa.

- Imezungushiwa ukuta, parking ya kutosha.

- Kilomita 1 toka main road (Morogoro Road), maji ya Dawasa yapo.

- Kodi kwa mwezi laki 3, mazungumzo yapo.

- Mawasiliano; 0653 568099, 0755 089383 namba za mmiliki siyo dalali.

Msiopajua Luguruni ni vituo takribani viwili toka inapojengwa Stendi mpya ya ma bus ya mikoani Mbezi Louis au stendi ya daladala ya Mbezi Mwisho.

Karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbali sana boss ,200,000/= labda tulete mteja chapu chapu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom