Habarini za muda huu, naomba kujuzwa ni duka gani Dodoma, morogoro au iringa na weza kupata simu za samsang s10+,S20 na S20+. Kwa moja ya mikoa twajwa ,shukran kwa details n PM.
Property Investors Company(PIC) inakuletea viwanja vilivyopimwa Dsm.
Location: Goba -Tegeta A
Price: 30000 per squaremeter
Distance: 100m from the main road ( Goba Mpakani)
Viwanja vimepimwa...
Natafuta bus nylon, packaging packet kama vinavyoonekana kwenye picha hapo kwa bei ya jumla. Msaada kwa kujua wapi na namna ya kupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 40,000 mpaka 45,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.au whatsapp no 0693296809
Tunakodisha formwork za mbao kwa ajili ya nguzo, slabs, jamvi za msingi na majukwaa kwa ajili ya mafundi wakiwa kwenye kazi yao.
kodisha kwetu kwa bei rahisi na huduma ya kukufungia ipo...
Nahitaji kitanda na godoro au kitanda kitupu au godoro nipo serious nipo Dar nitext kwa sms 0737 816 299 au pm nipo serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajukwaa nauza nyumba ipo kimara mwisho maeneo ya kwamashaka km 4 kutoka barabara ya morogoro road kwa boda bodo ni sh/ 1000 kwa bajajish/500.
Eneo lina upana wa 40 -33 na 40 20 - 33...
Tunasuka na kuuza mashine za kuchoma chuma (welding) na za kuchaji betri pia kwa bei nafuu.
Sasa unaweza kujiajiri kwa kufungua kijiwe na kuanza kufanya kazi za welding kwa haraka na uhakika kwa...
Habarini wanaJF,pichani gari suzuki grand escudo ya mwaka 2005,cc 2730,automatic inauzwa.
Bei ni tshs milioni 15,serious buyer njoo PM.
Gari ipo Dar-es-Salaam
Asanteni
Sent using Jamii Forums...
Wakuu amani iwe nanyi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mimi naitaji freezer ya kukodi kwa muda wa miezi mitatu tu.
Naitaji liwe na ukubwa wa lita 250 hadi lita 500.
Mimi naishi kibaha...
Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu ‘Smarthub’ Mtaa wa Mwenge jijini Arush, duka ambalo linatoa huduma mbalimbali ikiwa ni hatua muhimu katika kusogeza huduma...
Nahitaji freezer used kwa dar....liwe zima....ofa yangu ni 200k...ila yaweza kuongezeka.kulingana na ukubwa na ubora wa hilo freezer
Contacts za whatsapp kwa ajili ya picha ni 0674976040
Sent...
Kwa wenye mahitaji ya
1. Yellow Mustard
2. Tomato Ketchup
3. Coconut cream
4. Delicio mayonnaise
Mzigo upo sokoni kwa bei rahisi kama ifuatavyo.
Tunauza kwa jumla
1. Yellow Mustard 3.78 x 4pc =...
Natafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye...
Jipatie viatu vizuri mno kwa bei nzuri
Sebago 48,000/= Slippers 18,000/=
Tunafanya delivery.
Tuko Dar es Salaam
Mawasiliano 0656838727
Sent using Jamii Forums mobile app