Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu natafuta vox wagon batttle ..a.k.a mgogo wa kobe new model Bajeti yangu ni milion 5 m kama unalo unauza fanya kuni pm faster tumalize biashara mapema Nina uhitaji nalo sana kwa harakati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu tupeane updates za bei ya kujaza gesi mtaani ilivyo Maeneo mengi kujaza kwa kamtungi kadogo ni 23000 kutoka bei ya awali 19000 Bei ya kujaza mtaani kwako ikoje? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Naomba msaada wa namba za simu viwanda vinavyotengeneza bomba za PVC. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa yeyote mwenye,3phase induction motor,15hp, 720rpm,iwe mpya au used nicheki 0717964524 tufanye biashara,,,nipo dar..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jamvi, Natumaini humu jukwaani wapo wajuzi wengi kwa nyanja tofauti tofauti, kwa wale wataalam wa vifaa vya electronic hususani TV za kisasa naomba wanishauri ni ipi...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
MULL_KUKU Pata kuku wa kienyeji pure kwa jumla na rejareja bei yetu ni nafuu. Unachatakiwa kufanya toa order yako kupitia namba zetu 0653232350 0693552575 Ukihitaji kuandaliwa utaandaliwa bure...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau, Ninauza kuku wakubwa wa kienyeji. Kila mmoja ni 14000. Nipo Dar, Bunju ila mzigo unaletewa ulipo kuanzia watatu, ama ukipenda uje uchague bandani. Namba zangu: 0683069444 Sent...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NUMBER: 46 BEI: 40,000 TZS WHATSAPP: 0743232148
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ndugu wana jukwaa tunapenda kuwapa taarifa ya kuwa tunauza spare za magari ,mapambo ya magari, battery vilainishi vyote pamoja na tairi za magari mpya na original kabisa tunapatikana kinondoni...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
MIKOPO YA MASHINE NA ZANA ZA KILIMO BILA DHAMANA 0652556833, 0754397178 Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) Iliyopo Dar Mbezi Luisi, inaunda mashine mbali mbali zenye bei...
8 Reactions
26 Replies
15K Views
One of our Best Solar System Installed by RESCO (T) LTD at Kigamboni Dar es Salaam. KARIBU TUKUPATIE HUDUMA ZETU BORA ZA SOLAR KWA MKOA WOWOTE TANZANIA. WASILIANA NASI 0784232526 INSTAGRAM...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Ni office kubwa, kuna partition mbili kubwa Kuna choo ndani Madirisha makubwa Parking nje ipo ya kuweka gari Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market Kodi ni laki nne na nusu kwa...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Pata peanut butter smooth yaani siagi ya karanga laini yenyemchanganyiko wa chumvi tamuuj isiyochanganywa na kitu zaidii ya chumvi tu lainiiì kwa bei chee kabisa ya sh 3500 tu na pia tunatoa offa...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Nauza viatu vya Sperry Top Sider US Size 8.5M. Viatu ni pair mojq tu na ni vipya kabisa bila boksi. Sababu ya kuviuza ni kugundua viatu vina size ndogo baada ya kuwasili kutoka USA. Bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu ishauzwa. Nashukuruni sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vifaa hivi vyote vinauzwa. Ilikuwa ni kama Library lakini biashara haikuwa nzuri hivyo Ofisi inafungwa. Kama kuna mteja anaweza kuja kuvinunua hivi vitu,kindly naomba tuwasiliane. 1. Display...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau nahitaji ideas kuagiza iPhone 7 through Amazon/Alibaba kununua nchini ipi nafuu? Pia specifications zipi muhimu nisijeuziwa mche wa sabuni komoa! Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wadau, Tunahitaji mfanyakazi wa usafi wa ofisini kazi kubwa ni kusafisha ofisi na samani za ofisini.Ofisi ipo Upanga maeneo ya Muhimbili - Dar es Salaam.Tutafurahi zaidi kama amepitia...
1 Reactions
1 Replies
887 Views
Android application development kwa yeyote mwenye uhitaji wa kutengenezewa application ya android kwa matumizi ya kiofisi,binafsi and other uses anaweza kuwasiliana nami nkamfanyia mpango,pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…