Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibu upate viwanja vilivyopimwa Karibu na fukwe ya bahari Kigamboni Eneo: Bamba beach (Gezaulole) Umbali: Mita 100 kutoka bahari I Umbali: Km 16 kutoka Ferry Bei: 32000 kwa mita mraba Malipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanadau nina wheel chair mpya kabisa haijatumika naiuza kwa sh 250,000 Na pia nauza blood preasur monitor mpya kabisa 100,000 kama unauhitaji nicheck tufanye biashara sent from toyota Allex
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za humu? Nina ulezi tani zaidi ya ishirini, natafuta mnunuzi wa uhakika kutoka mikoa ya Arusha, Mwanza au Kilimanjaro. Kama una nia ya kununua nipm tufanye biashara. Hakuna bei fixed, ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza iphone 7G rangi nyeusi yenye Gibi 32 imetumika. Inatatizo moja ya hom buttun haifanyi kazi! Bei Tsh400,000 Kingereza Hi I am selling my used iphone 7G 32Gb black color, it has only one...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello! Nauza iPhone yangu ambayo nimeitumia kwa miez 3 tu hadi sasa hivi, kila kitu kipo, hadi box, earphone, charger. Battery life ni 100% Hii ni zile iphone original sio copy za bei nafuu afu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mida, Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kiwanja kipo Goba Mpakni kina ukubwa wa sqm 1000 yani 40 × 25 bei ni ml 20 kimepimwa ila hakina hati muuzaji ana dharura hivyo hata kama una nusu bei mnaweza kuandikishana then ukamalizia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji camera used ila isiwe used sana Canon D1200 au Nikon na TV inch 32 LG. Camera nina ofa ya 5k Tv nina ofa ya 35k Dondoka nawe na ofa yako ila kitu kiwe kizima maana najuwa kukagua.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
mzigo mpya kabisa huo haujawahi kutumika kwa 200k utaupata nichek 0738832919 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
706 Views
KARIBU MDAU *KUSAJILI KAMPUNI -Limited, -Partneship, -Business Name, * ANNUAL RETURN - Brela *KUANDAA - HESABU ZA KAMPUNI /KODI -MEMORANDUM -BUSINESS PLAN/PROJECT, -BUSINESS PROFILE *...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Habari wadau wa JF! Kuna Mzigo huu hapa matata upo sokoni: Fuso:Bei Tsh 7500 ($32,700) Engine 6D16 Distance 258,300km Displacement 7540kms Vibali vyote vipo, mzigo upo Dar Es Salaam.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nililipia miezi sita ya kodi kuanzia January-June Tsh 900,000 kodi ya miezi 6 nilitakiwa kuhamishiwa Mwanza hivyo hakuna kuhamishwa tena nyumba iko Mwanza Nyakato National ni vyumba viwili, Kimoja...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wakuu natumaini wazima npo mbeya mjini nahitaji kiwanja kwaajili ya makazi kiwe kimepimwa na hati,sqm 750+,kuwe na maji na umeme..ngependelea zaidi iwambi mpya ( upande wa maghorof) bajeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Wengi wetu tunaofanya kazi zakuajiriwa au hata biashara tunatambua kwamba kuna wakati mambo yanakuwa magumu. Katika kipindi hiki tunajikuta tunakuwa na stress (Sonona na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu maduka gani hapa Dar naweza nikapata saa classic na quality kama vile swiss, rado, IWC ambazo ni classic na quality.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inakodishwa nyumba yakufugia kuku ...niyatofali inagreal chumba cha mlinz na choo..location kinyerezi ...inauwezo wakufuga kuku mpaka 1000...kodi 200,000 kwa mwezi* mawasiliano Portfolio | 2020
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vifaa hivi vinauzwa kwa ajili ya matumizi ya Go Pro camera vifaa vya kufungia sehem mbali mbali kwenye maji, gari, pikipiki na hata baiskel kwa angle unayotaka na ukapata shoot yako nzuri na kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
USIHANGAIKE WAPI UTAUZA GARI YAKO [emoji604][emoji596] ANJOO UUZE GARI YAKO KWA HARAKA [emoji593][emoji594] TUNANUNUA MAGARI USED Sisi pesa ipo mfuko wa shati Tuma picha na bei WhatsApp...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari za weekend Naitaji Frizer used Mwenye nayo an dm
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…