Habari.
Ofisi za MOAN TANZANIA zinatoa fursa kwa vijana wakike na wamama wanaopenda kujifunza USINDIKAJI ili kuwa huru kiuchumi.
BIDHAA HIZO NI PILIPILI, UNGA LISHE NA VIUNGO VYA CHAKULA
MAHALI...
Habari ya humu ndani jamani,
Natafuta chumba kimoja self Morogoro, nina uhitaji mno kwa dalali na ambae mwenye nyumba naomba tuwasiliane.
Natanguliza shukrani
Habari za muda huu wadau
Kutokana na janga tulilonalo
Tumeanzisha business ya movie delivery
Tunasambaza movie za aina zote(kasoro za kibongo) maofisini na majumbani
But conditions for delivery ni...
Habari wana JF.
Naomba mnisaidia sehemu ya kupata miche/mbegu za minazi za muda mfupi. Pia, ni vyema nikafahamu bei zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wale Najidakia store sasa jipatie ice cream machine kwa bei ya punguzo million mbili na laki tano tu
Uwezo wake zaidi ya Lita 200 kwa siku ni kibiashara kwelikweli utapewa ushauri kama ni...
Wale wale bingwa wa mjini kuuza vitu used wanakuletea vitu vifuatavyo
FRIJI ZIPO MBILI KUBWA 295,000
NDOGO 200,000
DESKTOP HDD 500 RAM 2GB PROCESSOR DUO CORE 320,000
ZIPO MBILI hizi desktop...
Habari wanajukwaa,
Nahitaji App developer ambae ana uwezo wa kutengeneza simple, functional news app. Kama wewe ndiye ninaemtafuta basi nicheki DM.
Naomba kuwasilisha.
Kama ulikua na ndoto ya kumiliki Blogs,Personal Website au Portfolio kwa kuonyesha kazi zako Mbali mbali ila ulikua hujui jinsi ya kuanza au umekutana na watu waliokutajia gharama kubwa
Solution...
Hizi ni papai za kisasa, papai za muda mfupi.
Miche inaanza kutoa papai ndani ya miezi sita(6) hadi tisa(9)
Mti Mmoja Wa Mpapai Una Uwezo Wa Kutoa Matunda 80 kwa msimu.
Heka moja ya papai...
Kwa anayehitaji paypal account inapokea na kutoa pesa kupitia Mpesa (safaricom) unapata na line ya safaricom iliyounganishwa nayo.
Tuwasiliane: 0758593165
Habari zenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nimachine inatumia umeme imeagizwa Japan inafanya kazi masaa 24 muhitaji anitafute kwa mawasiliano 0656122225, nipo Dar bei yake ni 800,000 tu...
Hlw wana jf, natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa nafasi ya uhai, mimi ni kijana mkulima wa papai za kisasa mbegu ya karina na malkia miche 400 shamba lipo Tanita Kibaha.
Kwa mawasiliano...
Waungwani habari zenu,
Napenda kuchukua fulsa hii kuwajulisha ya kwamba tumeandaa safari ya kitalii katika mbuga ya Ruaha ambayo ndio mbuga kubwa kuliko zote nchini.
Safari itaanzia pale Mlimani...
Ni fundi bingwa Majiko ya Gass Kwa tatizo lolote tupigie +255715673024 huduma ni popote ulipo Kwa Dar es salaam na Dodoma fundi atakufata hadi lilipo jiko lako whatsap online muda wote uliza...
Nauza Redmi Note 7 Blue.
Brand New Sealed and straight From Xiaomi
Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage)
ROM ni 64GB
RAM 6 GB
6.3'' inch display
Line...