Nahitaji chumba Dodoma kuanzia maeneo ya chuo cha mipango (miyuji) mpaka usawa wa mnadani, bajeti yangu ni 50000 naweza kulipa mpaka miezi mitatu kwa kuanzia, ikiwezekana ainisha na sifa za chumba...
Techint/Technical Intelligence;
Katika istilahi za kiusalama neno Techint humaanisha intelijensia ya silaha na vifaa vingine vya kivita vinavyotumiwa na nchi zingine. Ili taifa moja liweze...
TECNO POP 2F FOR SALE.
16GB ROM
8MP Front camera with flash
Face unlock
Fingerprint sensor, 12month warrant
Almost new, imetumika muda mfupi
P'se call 0653233987, 0767686874
Habari zenu wana JF!
Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule...
Nahitaji chumba cha kupanga kuanzia maeneo ya chuo cha mipango mpaka mnadani bajeti 50000-60000,ikiwezekana ainisha na sifa za chumba hapa,natanguliza shukrani🙏
Dagaa wa matafuta kutoka ZIWA VICTORIA,TUPO MWANZA mikoani tunasafirisha buree kabsa .
Mawasiliano yetu.
0755213580 Au whattsapp 0755213580.
Kiasi kikubwa na kidogo tunauza..
Karibu sana mteja...
Habari za leo wakulima!
Naomba mwenye mbwa wadogo kwa ajili ya ulinzi shambani anipe contacts zake nina uhitaji wa hao mbwa shambani kwangu.
Nashukuru sana
Mwenye laptop mpya anauza kati ya Lenovo t490 au Dell latitude 5300, Nahitaji. Specifications memory kuanzia 8GB, processor i5 au zaidi, SSD storage. Vingine vinazungumzika.
PM au weka hapa kama...
Amani iwe kwenu wana jukwaa.
Katika mwendelezo wa kuelimishana masuala mbali mbali ambayo kwa njia moja au nyingine yatachangia kuboresha zaidi maisha na maendeleo yetu, leo tumeona tuzungumzie...
Habari wapendwa poleni na majukumu.
Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi.
Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya...
Habari za humu ndani, viwanja vinauzwa vipo singida manispaa. Viwanja hivi vimepimwa bei ni kuanzia shilingi million 2 mpaka million 4 kulingana na ukubwa wa kiwanja. M² ni shilling 5,000 kwa...
Jipatie subwoofer aina ya mr uk bei elfu 92.000 ina warrant mwaka 1 inatumia bluetooth, memory card na flash, usd volume yake 30, kama upo nje ya mkoa wa Dar es salaam na unaitaji bidhaa nakuomba...
Kitanda 5/6na godoro lake Dodoma inchi 8, meza mbili za vioo, vinauzwa.kitanda na godoro tsh 220,000.
Meza zote 90,000.
Vinapatikana Gongolamboto kituo kipya. Simu.0652595942
:Hisense tv inch 43 version B6000 naiuza
:nimeinunua mwezi mmoja uliopita,haina shida yoyote
:kila kitu chake kipo-warranty,remote,boksi na maboya yake,stand ya ukutan pamoja na miguu yake ya...
Habar Yako mwana Jamii
Land Rover 110 cc 2500 ya mwaka 1998 imetembea umbali usiozidi kilometer 250,000. inauzwa kwa bei ya Tsh. Million saba na nusu (7,500,000/=)
Sasa nimeweka picha kwa wale...
Wakuu, Salaam, kwa wafanya biashara na wajasiriamali.
Nina machine mpya kabisa heavy duty vacuum ya kupakia bidhaa yenye double chambers. Naiuza haraka kidogo bei nzuri sana. Tshs 2.5 M. IPO...