Wakuu, kama uko na Local mines au Trading Company ambayo ina deal na Madini tajwa hapo juu....nijulishe tufanye Biashara tafadhari!
Njoo PM kwa Information zaidi...!
Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429.
Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread...
Kiwanja ni kizuri kwa matumizi ya makazi
Eneo kilipo: bunju B
Umiliki: kina hati
Ukubwa: 1048 square metre
ziada: kimezungushiwa ukuta
Price; milioni 30 (maelewano kidogo yapo )
Mawasiliano...
Tunauza SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO (handwash),za KUOGEA , SANITIZER, SABUNI ZA MICHE ZA KUFULIA na SHAMPOOO Tunapatikana Kariakooo daresalaam .mikoani tunatuma kwa order ya jumla ....whatsaap...
Mlango unauzwa TSH 300000 wasiliana nasi kupitia 0689344774 au WhatsApp number 0656783090.
TUNAPATIKANA TABORA pia tunachukua Oda kutoka sehem mbalimbali Tanzania.
Laxman Logistics
Ni kampuni inayo fanya shughuli zote za kuprocess mzigo kutoka Nje ya nchi mpaka bandarini Tanzania mpaka kufika final destination katika nchi hizi Burundi,Rwanda na Kongo
Tuna...
Iwe toyota/ Nissan/ Suzuki/ Izuzu/ Benz etc.
Kutokana na vyuma kuendelea kukaza, tumekuja na ofa kabambe kwa ajili yako
Karibu kwangu nikuuzie radio mpya za kuona zagari kwa malipo ya awamu tatu...
Tangazo la chuo.
chuo cha ununuzi na ugavi kilichopo chanika kinatangaza nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne katika kozi zifutatazo-
1. VETA business operation assistant
Sifa...
>>>> LIJUE TATIZO HILI HATARI LA UMEME LINALOITWA VOLTAGE SURGE LINALOWEZA KUSABABISHA MADHARA MAKUBWA NYUMBA UNAYO ISHI AU OFFISINI UNAPOFANYIA KAZI
Inaandikwa na TWALEEB BIN AUF
NINI MAANA YA...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleleza. Natafuta frame kwa ajili ya kuanzisha SALOON ya KIUME. Frame iwe dar es salaam na iwe maeneo yaliyochangamka zaidi kama barabarani au mitaa yenye watu...
StarX inch 32, Tsh 270,000/=
Samsung Galaxy J7 prime duos, Tsh 220,000/=
Subwoofer Sea piano, Tsh 80,000/=
King'amuzi startimes Tsh 50,000/=
Stand ya Tv Tsh 30,000/=
Vyote bado viko katika...
Mashine ya kukamulia juice ya miwa ni bei gani nahitaji na tips za kufata kwa ajili ya kufungua juice point nikipata mwalimu au mtu anayeweza kutengeneza juice nzuri tunaweza kuungana kufanya...