Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Wana jamiforums natafuta kijana anae jua wapi naweza kupata samaki wa kwenye mito TANGA. Kuna Aina ya samaki nawataka sio kambare Wala perege ni scatt Kama mtu yuko tayar na anafaham...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za majukumu wadau. Nahtaji TV Showcase iliyo katika kiwango kizuri, iwe ya mbao na bajeti yangu ni Tsh. 90k. Ipo mfuko wa shati hapa kama ipo nichek kwa namba hii 0768069716 chap!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
PRADO DIAMOND MILLION 36,2tr km 60000 CC 2600 nzuri sana Contact0622221913 /0767881407 Tyre zote mpya Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya spea za malori ya kichina Faw na Howo aina zote kwa wanunuzi wa jumla na rejareja wasiliana nasi au tutembelee Tupo Ilala, Dar es salaam Mikoani tunatuma Piga:0738837682 Karibuni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunatengeneza Business Card aina zote, logo, vitabu vya risiti, kava za vitabu na mabango makubwa ya biashara kisha unatumiwa kwenye email yako au WhatsApp popote ulipo itakufikia. Unatuma SMS...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nataka mtu mwenye Iliki aje tufanye biashara nae.
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR. Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo. Nauza kwa laki 5 tu. Ipo Mbweni JKT, Dar. Wasiliana Whatsapp 0625536529 Samsung...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za jumapili, wanajukwaa poleni na mvua zinazoendelea, naenda straight to the point Nina plan ya kununua BODA BODA,mpya aina ya Sunlg,hachue,ila mpaka Sasa nimesave 1million,ila naomba kujua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jf? Nauza maziwa fresh. Lita 5 shilingi 10,000. Ikiwa zaidi ya lita 10 tunaweza kupunguza bei. Maziwa ni mazuri, hatuchanganyi maji hata kidogo na ng'ombe wanatibiwa na...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamii forum wenzangu, nina swali nataka niulize nina projector aina ya sony 3LCD nataka niuze ila sijajua thamani yake. Kama kuna yeyote anayejua bei za projector aniambie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iwe gari kati ya Rav 4 new model old au Haria new model au tupia gari lolote ambalo unataka kusukuma upate hela ya fasta Liwe namba D njoo PM NB: Madalali please msiniwekee maneno yenu ya...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuuu, mwenye kufahamu fundi mbobevu wa magari ya subaru tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni Mayai ya kienyeji kabisa na yenye ubora wa hali ya juu ,njoo ujipatie au weka order yako bei ni Tsh. 12,000/=(Trei ya Mayai 30) Ukihitaji utaletewa mpaka mlangoni. TUNAPO SEMA NI MAYAI YA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni pamoja na kutoa password kwa waliosahau (pamoja ni kwnye cloud).Napatikana moshi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
828 Views
Wakuu, kama uko na Local mines au Trading Company ambayo ina deal na Madini tajwa hapo juu....nijulishe tufanye Biashara tafadhari! Njoo PM kwa Information zaidi...!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429. Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kiwanja ni kizuri kwa matumizi ya makazi Eneo kilipo: bunju B Umiliki: kina hati Ukubwa: 1048 square metre ziada: kimezungushiwa ukuta Price; milioni 30 (maelewano kidogo yapo ) Mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Resume/CV Maker | Curriculum Vitae - Apps on Google Play
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…