Desktop Graphics Card
Kwa 3D Designing & Gaming
Memory 1GB Vram Ddr3
DVI & Display port
Ina uwezo wa kucheza Modern Games kwa low settings (Tested on i5 2400 8GB Ram)
GTA V, FIFA 18,19, PES...
Ligi inarudi wadau chukueni mzigo huo vyote vipya na risiti zipo.....0686426298
Mzigo upo Dar es salaam.... kwa 260000 tu... azam nakusetia mwenyewe kwa 8000 tu ( nipe dili hilo) Hdmi pia ipo...
Habari wana JF,
Nauza hichi kitanda cha 5x6...Nilikinunua mwezi wa 3 tarehe 17 hivyo kina miezi mitatu kasoro tu tokea kinunuliwe na upya wake, kikiwa kipya kinauzwa Tsh 547,000/= cash...nakiuza...
Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level.
Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni...
Habari za kazi,
Nauza Mac book pro 13 ya mwaka 2017 kama spare
Machine kuna kitu kimeharibika ndani kina cost 500k,
Motherboard / display/ Kioo/ HDD ram processor vyote vizima kabisaa.
Kwa yoye...
Ni nyumba ya chumba 2 inachukua eneo dogo tu la 40,05 m²
Quarto maana yake ni chumba(room)
Sala maana yake ni ukumbi(sitting room)
Banheiro maana yake choo(Toilet)
Cozinha maana yake...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mkazi wa Morogoro, natafuta nyumba ya vyumba vinne maeneo ya Kihonda au Azimio au Kilimanjaro kwa ajili ya kupanga.
Mwenye nayo ani PM
Habari wapendwa poleni na majukumu.
Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi.
Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya...
Wakuu
Wale technician nahitaji screen ya MacBook Pro 13 Latina ya 2017 kama unacho njoo na offer yako na bei ya kufix
Bei iwe ya Corona tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha...