Mafuta ya Mnyonyo ni dawa ya asili inayo tibu maradhi mengi kwa binadamu pia hutumika kurefusha nywele na kuilinda ngozi. Jipatie kwa bei nafuu.... Kwa mawasiliano zaidi 0675078843/0765734842
Habari za wakati huu tena wana JF?
Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi kuelezea ili lengo likamilike.
Nimekuja kwenu kwaajili ya kuwatangazia wale wafanya biashara za maduka...
FUNGUA STESHENARI LEO- COPIERS AND PRINTERS BEI ZA OFAAA!
TSh5
canon 2018 - 900,000/=
Canon 1600 ir- 650,000/=
canon 1024 ir - 650,000/-
hp 1415- 370,000/= (colored and black and white)-...
Wakuu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji nyumba maeneo ya Sinza au Mwenge pango miezi miwili tu iwe kuanzia laki moja had laki Tatu, Sina hela ya Dalali hapa moja kwa moja ni...
Mom
Huu ni mtambo waku balance Nginu ya umeme
Kwa maeneo ambayo Umeme unazidi na kupungua basi watahitaji hii kwaajili yakuweka sawa na kutoa voltage zinazohitajika
Mtambo nimkubwa 40ft...
Salamu wakuu,
natafuta hiki kitu katika picha anayejua kinapopatikana kaliakoo kwa bei rahisi anijulishe inatumiwa na wanao tengeneza mazulia (handmade carpet)
katika pitapita nimezikuta msimbazi...
Frige za mtumba zinapatikana Zanzibar Kisauni AirPort Karibu na Mombasa, kwa Wateja wa DSM unalipa 50% mzigo wako unaagiziwa mzigo ukifika unamalzia 50% iliyobaki.
DSM fridge mbili zimefika...
Miaka 2 ilopita niliweka Bandiko hapa kuhusu Epoxy...
Mwanzo changamoto ilikua upatikanaji wa Materials ya Epoxy, na sasa kuna uhakika wa upatikanaji wa Materials, ndani na baadhi ya Materials...
Pata huduma hizi kutoka KILIMO JOINT 0683556677
- Ushauri ( consultation)
- Mbegu (Seeds)
- Mbolea (Fertilizer)
- Kuchua udongo kwa ajili ya kupimiwa (soil sampling)
- vifaranga vya samaki...
Job Description
We are looking for a competitive and trustworthy sales officer for CarHunt Japan branch office in Tanzania market to sell used cars, trucks, machinery and auto parts. Also, the...
Swimming Lessons With @swim_coach_abel [emoji907] (For children age 1.8yr to 15 Yrs) starts its first classes again [emoji7]
Look how excited Plang is, she can't wait to get back in and make a...
Uzi maalum wa Nguo na Viatu vya kike chagua ukipendacho, kisha weka oda yako nikuletee popote ulipo kwa Dar es salaam na mkoani pia unatumiwa kwa uaminifu mkubwa
[emoji336] 0678096545
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa. Shamba liko Zingiziwa, Chanika wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Kuna mto unapita katikati ya shamba hivyo unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji kwa...
Jipatie bidhaa mbalimbali za umeme kama magenerator, friji, hometheater, majiko makubwa ya gas na madogo, sabufa, deki, pasi na vingine vingi.
Ofisi yetu ipo Kinondoni pembeni kabisa ya kituo cha...