nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,491
- 8,168
Habari za wakati huu tena wana JF?
Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi kuelezea ili lengo likamilike.
Nimekuja kwenu kwaajili ya kuwatangazia wale wafanya biashara za maduka ambao hawana mfumo mzuri wa namna ya kutunza kumbukumbu na kufanya mahesabu kujua matumizi na faida za duka.
Kwa kutumia formula za excel nimeweza kutengeneza mfumo ambao utafanya mahesabu ya mauzo ya siku pamoja na matumizi. Pia utaweza kufanya mahesabu ya stock kwa wiki ikiwa ni pamoja na kupiga mahesabu ya faida ikiwa ni pamoja na kutolea VAT.
Pia mfumo huo utaweza kukuonyesha stock uliyonayo na matumizi ya wiki nzima.
Pia huo mfumo utakurahisishia kujua ni kitu gani kwenye duka lako kina faida na namna ya kuongeza na kupunguza matumizi.
Ni maduka ya aina zote pamoja na migahawa
Kwa mwenye uhitaji wa mfumo huo unaotumia excel unaweza nitafuta kwa kupiga namba 0762905779 au whatsap kwa namba 0762905779
Au unaweza kuja pm kwa makubaliano zaidi
Natanguliza shukrani za dhati