Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kinauzwa kipo Madale mwisho wa magari karibu na barabarani kina ukubwa wa square 600. Kimeshapimwa bei million 8.5 no: 0655 628 795
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matumaini mpo salama humu wakuu. Kama mtu ana boksi la tv hisense inc 49 tufanye biashara maana nina uhitaji sana na hii kitu.
1 Reactions
7 Replies
786 Views
Habari zenu, Natafuta mayai ya kisasa kwa Bei ya jumla Kama trei 100 kwa week. Nachukua kwa Bei ya shamba ya Sasa au ikizidi basi iwe kiasi kidogo ambacho naweza kukimudu. Tuwasiliane kwa namba...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na simu mbovu aina ya Tecno W5 tuwasiliane pm, lengo langu ni kuhitaji board ya nje ya simu tu, wenye nayo aje PM.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau nahitaji vyumba viwili yaani chumba sebule choo cha kujitegemea hàta isipokua master, kodi 80 pia kisiwe mbali na barabara
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu Godoro zipo tatu Moja -85000 La pili -65000 La tatu -55000 Baiskeli -85000 Vitu used bei kitongaaaa ni najidakia store piga simu 0762612213
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Miongoni mwa huduma ambazo zimekuwa kimbilio la wajasiriamali wengi, ni huduma ya kutoa huduma ya vyakula kwenye sherehe au mikutano (cartering services) na wengi wanaofanya shughuli hii, wamepata...
3 Reactions
13 Replies
11K Views
TCL 55" LED 1080 HD HDMI 2 PORTS IN, USB 2 , 2 SETS FLOWER PIN plus lock ya ukutani na miwani ya 3D model: TCL LED55V7300Q3D Hii sio smart tv ila ina 3D Option na miwani ya kuangalia 3D kama...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari Nipo Dar, ninahitaji jiko la kuoka mkate kwa mkaa, tafadhari tuwasiliane, 0786 711 786 kama hili hapa chini, nitafurahi nikimpata mtengenezaji ambaye si mchuuzi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashine za kukatia nyama aina zote mpaka samaki zinapatikana kwa bei ya 1.3M ya kitanzania. Mashine ziko Mbezi Msakuzi na zimebaki nne tu. Karibuni sana. 0682931592 whatsapp/0673958899 Call...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Used tecno spark 3 pro Android version 9 Ram 2gb Internal memory 32GB Box na risiti vipo Eneo Temeke (Dar) Contact 0712518770 Bei- 200,000
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Habari Jf! Kuna tablet itel model iNOTE it1701 inauzwa kwa Tsh 140,000/= maongezi yapo Specifications iTel 1701 (it1701) Major Specification Highlight Network: 2G – Yes, 3G – Yes , 4G – N/a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Year of manufacture; 2011 CC 3000 Automatic Fuel; diesel Bei ; 45 m Gari ipo DSM mitaa ya Sinza meeda Mawasiliano;0765 494 548
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza pc aina ya Toshiba satellite C50-B930. Specification Ram 4GB HDD 500 CPU dual core Inakaa na charge Karibu sana
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Toyota crown royal black inauzwa Ipo Dsm meeda sinza Bei: 10.5 m Mawasiliano: 0765 494 548
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu! Nahitaji gari nzuri ambayo itafaa kwa shughuli zangu za hapa mjini na mara moja moja safari za mbali kidogo. Bajeti yangu ni sh mil 5. (Opa, passo, starlet, gx 100 yyt sizihitaji)...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Je unahitaji simple kali za kimasai kwa bei poa..... Usihofu MMASAI OG FASHION SHOES tutakuuzia viatu vya kimasai kwa bei ya chini sana jumla na reja reja Bei ya jumla ni kuanzia shilingi 5000 tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua bei ya mashine ya koaka mikate
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa picha na maelezo zaidi piga simu... 0688351006 kwa maelezo zaidi.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Lenovo x250, core i5-5300U, CPU@ 2.3GHZ 2.9GHz, RAM 4GB, HDD 500GB,Intel HD graphics 5500 with 2.12GB memory, iko very slim na portable 12.5" display, battery can last up to 4hrs, price 500,000Tsh...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…