Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibuni, viwanja vipo Bagamoyo karibu na ofisi za mradi wa malaria kwa mkoa wa pwani. na km 1 kutoka bahari ya Hindi. MOROGORO, vipo Morogoro Kwa mkundi makunganya.. bei kwa square metre ni sh...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzigo Subaru legacy ipo sokoni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau wa Jf habarini, pia poleni na kazi na majukumu ya kila siku. Nauliz Kwa anaeifahamu vizur mashine ya kutobolea miamba/mawe kwa ajili kulipua kwa baruti anijuze zinapatikana wapi au zinauzwa...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Napokea order na tenda za chakula Vyakula vyote vya kitanzania(Swahili food) -Maofisini -Nyumbani n.k Mahali popote ukihitaji chakula nakupa menyu na bei nakuletea popote ulipo nafanya delivery...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
TOYOTA HARRIER ( DMT) Make : Toyota Model : Harrier Engine Capacity Cc: 2990cc 6 Cylinders Mileage: 127,000km+ Fuel: Petrol Full AC Standard features: New tyres Transmission: Automatic Asking...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Nauza mabegi ya kusafiria kwa bei poa ya Tsh 110,000 mikoani tunatuma wa Dar unaletewa popote ulipo call /whasap 0758 703228/0719 551212
2 Reactions
9 Replies
18K Views
Wadau habari, nahitaji shamba eneo la mlandizi au bagamoyo. Eneo liwe linafikika kwa barabara ya gari na liwe flat. Ukubwa ni isipungue ekari 2.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunauza viatu vya kimasai OG kwa bei ya kiwandani jumla na rejareja Jumla ni 5000 Reja reja ni 7000 Tunapatikana mwenge na mikoani tunatuma bila shida yyte Wasiliana nasi call/whatsap 0672904720
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana jamiiforum nahitaji simtank Lita 5000 au 4000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Friends in JF Naomba mtu anielekeze wapi naweza kupata Used Suzuki Maruti Omni kwa Dar es Salaam. Karibuni PM. Nawatakia heri ya mwaka mpya 2020
0 Reactions
10 Replies
3K Views
TOYOTA PORTE (DSD) Make : Toyota Model : Porte Manufacture Year: 2004 Engine Capacity Cc: 1490cc Fuel: Petrol Full AC Asking For: 8M For more details kindly Text or Call +255 717436363 Location...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, habari zenu? Naomba kujua aina ya ndege (flight) inayoweza kunipatia huduma ya kusafiri toka Tanzania (Dar) kwenda Namibia (Windhoek). Ni aina gani ya flight? Nauli ni kiasi gani (one...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni eneo kubwa la heka 3.77 lililopo Msalato Dodoma mjini, barabara ya kwenda Arusha. Eneo hili lipo pembezoni mwa barabara karibu na kibao Cha Fantasy Hotel. Kama unahitaji tuwasiliane kwa namba...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
An Expression interest to invest in a Tech start up the amount of between TZS 4 Mils to TZS 400 Mil for a stake of between 10% to 99%.T Nature of business:Tech startup Sector-E commerce Funding...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
BOSS KAZI YA LEO HII MJESHI ANA MZUKA SANA ANATAKA ALTEZA KALIIIII OFFER MEZANI 6.5/7 MILLION HAKIKISHA NAMBA D YENYE VIWANGO UNAYO NJOO TUMALIZE SINZA HAPA 0742228902
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Nakihitaji kitabu hiki. The Breaking Point Beautiful Christa came to Queen's Lacey, a Buckinghamshire farm, as a young bride. Deeply in love with her husband Anthony Chalford, who adored her...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Bila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nahitaji Gari ndogo kampuni ya Toyota. Lakini ISIWE kati ya hizi - IST - VITZ - RAUM - PASSO Kama ipo lete kazi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom