Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Morizella juice tumia kinywaji hichi kila mara ili kuondoa sumu mwilini pamoja na cholesterol (lehemu)ambavyo sio rafiki kwa afya ya binadamu . Sumu hizi zaweza kutokana na vyanzo mbalimbali...
0 Reactions
38 Replies
16K Views
Mkuu wa Chuo cha Bright Smart Star Vocational Training Center chenye namba ya usajili VETA/MC/RC/110/82 Cha jijini Mwanza Anatangaza nafasi za Masomo kwa ngazi ya cheti kwa kozi zifuatazo: 1...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jenereta kubwa aina ya Perkins KVA 27 linauzwa,lipo mikocheni B bima road,limefanya kazi masaa 2746. Kwa sasa linatumika kuendeshea container za cold room, lipo katika hali nzuri, engine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara Ni...
3 Reactions
21 Replies
48K Views
Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku automatic na manual za umeme na mafuta, mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki, mashine za kufyatula tofari na kuchomelea. Pia...
3 Reactions
25 Replies
9K Views
TV [emoji342] ya nchi 32 inahitajika chap... Pesa ipo mfuko wa shati Location Dar Mbagala Muuzaji serious anicheki 0654780270 0655780270
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Habari za jioni wanaJF, Maomba connection ya kampuni zinazojishughulisha na kutoa mkopo ya vifaranga na chakula Cha kuku kwa wafugaji wadogo. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za mda huu wadau, Kuna mchongo wa pikipiki brand new zinaitwa TANHERO zinauzwa na kukopeshwa kwa bei nafuu mnoo. Gharama: Zipo pikipiki za aina mbili. 1. Tanhero Super Model 110 inauzwa...
1 Reactions
23 Replies
13K Views
Tunashughulika na ufungaji wa drip irrigation, sprinklers na green house. Tuko Arusha 0754281399 tuwasiliane
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Iphone 6 plus 64GB Full box 480K 0759007696. Ilala, Dar Karibuni.
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Wazee nahitaji raba zilizosimama,original hasa nyeupe dukani, nimezunguka ila sipati options za kutosha unakuta duka lina raba chache nyingi ni moka, zikiwa nyingi ni mafamba
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Leo katika pitapita zangu huko Twitter nakutana na vituko vingine vya huu mtandao wa Tigo. Eti kuna vifurushi ili uvipate ni lazima uwe na umri wa miaka 24 kushuka chini. Swali langu ni kuhusu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mi TV Box S inauzwa. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa kimara na Ubungo sasa unaweza unaweza kupata huduma ya kununua gesi kidogo kidogo kulingana na mahitaji yako kwa kuanzia shilingi 1000 kwa kutumia simu ya mkononi kama tunavyo nunua...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari!! Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program? Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Wapendwa wanaJF, Nina Biashara ya Kufyatua Tofali hapa Goba Tegeta-A along Njia Nne/Madale Road. Niahitaji Lorry Fuso tani 4?/4.5 kwaajili ya kubeba mchanga, kwa makubaliano ya hesabu ya siku...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Make : subaru Model : Legacy *Bei Mil 9.5 tu. Engine code : Ej 20 non turbo Engine capacity : 2000 Manufacturing year : 2005 Transmission semi automatic Sport rims☑ Air conditioner ☑ Booster with...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Tunauza Grandstream gxp2140 IP Phone mpya kabisa kama zinvyoonekana kwenye picha kwa sh 100000 pamoja na 24 ports patch panel za brand ya Begin kwa sh 50000 tu. Tunapatikana Karume, Dar es salaam...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Habari Zenu Wanajamii Forum Ningependa Kuwapa Habari Nzuri Kwa Wale Wote Wenye Ujenzi Unaoendelea Mjini DODOMA Wa Nyumba Office Nk.. AIDF Inawapa Fursa Ya Kuwaunganisha Na Mafundi Wazuri Wakueka...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Hi Rafiki, Karibu tupeane support kwakuungana mkono ujasiliamali mdogo mdogo, hapa nitakuwa nakupostia frame mbalimbali za miwani ya macho,sun glasses (shades). Ambazo Ni comfortable hazibani kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom